Majanga

Majanga

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
582
Reaction score
104
Kwa miaka sasa wazazi wamekuwa wakiwapa watoto wao majina kama;
sikujua
sikuzani,
Matatizo,
havinitishi
Muungano,
Majaliwa,
Subira,
Wema,
Baraka.
Taarifa zinasema neno la MAJANGA lipo karibu kuanza kutumika kama jina la mtu.
 
Hehhe haya

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hee kumbe wewe hujui majanga mbona ni jina la Siku nyingi tu, watu niwazee sasa..kwani hujawahi kusikia kwa mzee majangaaa???
 
Kuna Mzee majuto pia usisahau

Hahahahaha! Naona mkuu umelikumbuka LI-KING! Ningefurahije tungekua nae jukwaani! Chezea Majuto weweeee! akicheka unacheka, akinuna unacheka, akiumia unacheka, akisema unacheka, jaman! Yule Mzee noumaaa babaake!
 
Back
Top Bottom