Majanga ya Kurasini

Majanga ya Kurasini

Tibaijuka kwapani????

sidhani , bali kuna longolongo kwenye manispaa ya Temeke , watendaji wake wamekaa kiujajaujanja mno , nadhani ni kati ya halmashauri zenye mambo ya hovyo kabisa nchi hii .
 
MKUU,PENTAGON PUB kapewa NOTICE kwa kuwepo RELINI?

Thubutu yake , yule Tairo hawamuwezi , ni mtu wa 'kuwaona ona mara kwa mara' halafu wanasema lile eneo alilokuwepo ni la Relwe hivyo halihusiki na bomoa bomoa , nilikuwepo asubuhi nikapiga mchemsho .
 
Mkuu una ROHO ngumu! mimi niliacha kuingia pale toka Gari moshi lilipogonga LANDCRUSER ya TANESCO,nikakumbuka ule usemi MWENZIO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI.MWAKYEMBE anaijua PENTAGON PUB Mivinjeni?
Thubutu yake , yule Tairo hawamuwezi , ni mtu wa 'kuwaona ona mara kwa mara' halafu wanasema lile eneo alilokuwepo ni la Relwe hivyo halihusiki na bomoa bomoa , nilikuwepo asubuhi nikapiga mchemsho .
 
Miaka 20 ijayo Buguruni, Tandika, Ubungo, Manzese, Gonbos watahamishia Morogoro!
 
MKUU,PENTAGON PUB kapewa NOTICE kwa kuwepo RELINI?

tairo haimhusu. wanaohusika ni wale raia wa matombo hadi kule olympic guest house. pale pentagon kwa tairo anamalizana na jamaa wa railway wakija anawapa supu na bia na nauli kidogo wanakaa kimya. sasa hivi viti anaweka katikati ya reli. chezea pesa wewe. lakini anasaidi sana. samaki na mchemsho wa pale mtamu sana. mia
 
waarabu walikukosea nini? mbonq wachina ambao wamepewa mkataba wa kujenga kituo chao eneo hilo huwataji. au ndo umbumbumbu wa viongozi wenu umeenea mpaka kwa wafuasi

Hawajamkosea kitu ila anaeleza ni kwa nini wanavunjiwa nyumba zao.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
tairo haimhusu. wanaohusika ni wale raia wa matombo hadi kule olympic guest house. pale pentagon kwa tairo anamalizana na jamaa wa railway wakija anawapa supu na bia na nauli kidogo wanakaa kimya. sasa hivi viti anaweka katikati ya reli. chezea pesa wewe. lakini anasaidi sana. samaki na mchemsho wa pale mtamu sana. mia

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kweli we mkali sana yaani unaijua matombo ! The only free state of ganja and gongo .
 
Mbona kuna dhuluma kila kona ktk nchi hii?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mchana huu M/kiti wa serikali ya mtaa wa Kurasini Mivinjeni ambaye pia ni kada wa CCM MASHAKA MGAYA, anagawa NOTICE YA SIKU SABA kwa wakazi hao kuhama kwenye nyumba zao kabla TINGATINGA halijatumika kuwafurumusha !

Ikumbukwe kwamba Wizara ya ardhi kupitia Mh .Tibaijuka ilisitisha mpango huo mpaka itakapotangazwa tena , Baada ya kubaini magumashi kibao.

SWALI la kujiuliza, WHO IS BEHIND THIS ?

CC Anna Tibaijuka Tibaijuka
 
Last edited by a moderator:

Taarifa za kiuchunguzi zinadai kuwa kuna MWARABU mmoja mwenye MALORI YA MIZIGO aliyeko jirani na eneo hilo ametamani kuongeza eneo la kupaki magari yake , hivyo ameweka mzigo kwenye meza ya halmashauri ya Temeke kiasi cha kuwachanganya hadi kupuuza amri ya wizara . CC Anna Tibaijuka .

Wacha uongo weweeeee!
 
wananchi wamejipanga kumburuza mahakamani M/kiti wao ndugu Mashaka Mgaya kwa kukaidi amri halali ya wizara ya ardhi .
 
Hakuna mkutano wa kuwajulisha wananchi kuhusu jambo hilo ! Unaletewa barua mlangoni .
 
kuna waliogoma kuwekewa X , hivyo hawakufanyiwa tathmini yoyote na wala hawajawahi kulipwa akiwemo Mzee Nchimbi ( mngoni mbishi na imara ) , lakini juzi wametiliwa X chini ya ulinzi mkali wa polisi wenye mbwa tena bila wenyewe kuwepo , swali je picha zao zimepatikana vipi ? Maana unapotiliwa X ni lazima upigwe na picha .
 
Back
Top Bottom