HAHAHAHAAAAH umenikumbusha Ngowi na mikasa ya Proba , daaah maisha ya chuo yanatiaga wazimu sana
Kumbe university kugumu kiasi hicho.leo ndo nimeamini advance na chuo bora uende chuo aisee ukapate experience mapema ili badae usipate tabu.kama mtu ana div 1 ya 3 au 5 alafu anaferi chuo basi si mchezobora hata dv 0 ya form 4 ataringa kwa sababu atapewa leaving certificate.ila ukidisco ndo kwa heri,hupewi chochote.
Hapa kuna moja kati ya haya..
1. Waliojiunga wengi ni vilaza...
2. Wakufunzi hawajui kutoa nyanga...
3. Mchanganyiko wa yote hapo juu..
4. Kuna kuchukuliana mademu kati ya wakufunzi na wanafunzi..
5. Background ya wanafunzi kishule si ya kujiunga na UDSM...
bora hata dv 0 ya form 4 ataringa kwa sababu atapewa leaving certificate.ila ukidisco ndo kwa heri,hupewi chochote.
Zaidi ya wanafunzi 500 wa udsm wamedisco ktk mwaka huu wa masomo huku wengine zaidi ya 9000 wakitakiwa kufanya mitihani ya supplementary.mpashaji wangu wa habari,amenidadavulia idadi ya waliodisco kwa kila college kama ifuatavyo
1}CASS-141
2}COET-137
3}CONAS-98
4}COICT-59
5}UDSL-42
6}UDBS-17
7}UDSE-9
Zaidi ya wanafunzi 500 wa udsm wamedisco ktk mwaka huu wa masomo huku wengine zaidi ya 9000 wakitakiwa kufanya mitihani ya supplementary.mpashaji wangu wa habari,amenidadavulia idadi ya waliodisco kwa kila college kama ifuatavyo
1}CASS-141
2}COET-137
3}CONAS-98
4}COICT-59
5}UDSL-42
6}UDBS-17
7}UDSE-9
Karibuni STREET UNIVERSITY...huku hakuna hayo mambo ya kudisko...huku ni tambaraaare..kuna kozi nyingi sana kama kuchoma mahindi, kukaanga mihogo, kuuza chenji stendi za daladala, kusafirisha unga(cocaine)..kwa wale wenye ubavu wao kuna kozi ya kubeba zege..kumbuka KOZI ni BURE...Karibuni tulijenge taifa kupitia mlango wa nyuma...