Toa cmos betry then iwashe na kuzima baada ya hapo ludisha betry.
Toa cmos betry then iwashe na kuzima baada ya hapo ludisha betry.
yangu mkuu ni simcard imeniponzamrudishie mwenyewe, inaonekana hiyo c yako
Mkuu nim download lakini sijaielewa coz hii mashine inadai password na auwezi kuingia kwenye window kabisaCheck hapa: ftp://ftp.heise.de/pub/ct/ctsi/ctbios15.zip
Hii software itakusaidia
Kiongozi nashindwa namna ya kutumia hii softwareCheck hapa: ftp://ftp.heise.de/pub/ct/ctsi/ctbios15.zip
Hii software itakusaidia
Kiongozi nashindwa namna ya kutumia hii software
Password kwenye Bios dell e6400 mwenye kujua namna ya kutoa plz.
Kiongozi nashindwa namna ya kutumia hii software
Wala usiahangaike na ma software wala kung'oa cmos battery nenda kwa mafundi wa computer waifungue kuna ka chip cha bios ambacho kana hifadhi paswrd wakang'oe na hot air alaf baada ya dakika kadhaa wairudishie ngoma itakua mukide.
Angalizo: sihalalishi uwizi na kama mashine ni ya uwizi haitakubali kwa minajili ya mwokozi.
Mashine za mwaka 47 ndo labda utoe CMOS battery ila hzo generation za kisasa password zinahifadhiwa kwenye chip na hizo chip ni non- volatile (a read-only memory that retains its data when the power is turned off) sasa ukitoa hiyo battery ni sawa na kazi bure.
- Njia rahisi na yaharaka amekupa ndugu Brine .
- Fungua hiyo PC yako, toa hicho kijibetri kidogo kilicho ndani, washa PC na endelea na ulichukua unataka kufanya, ukimaliza rudishia kijibetri.