Msafwa wa swaya
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 425
- 105
Nimesoma phrase moja humu JF juu ya viongozi wa serikali ya Kenya, nafikiri inaihusu hii serikali yetu pia: KUIBA KURA NI KITU KINGINE NA KUONGOZA NI KITU KINGINE. Come 2015, TUONDOE HAWA MAJANGAMi ni mwalimu mkoa wa mbeya,nipo daraja Tgts c1 imeongezeka elfu 43000 hvyo imekuwa 343,000 KAZI IPO MFUMUKO WA BEI JUU SERIKALI YA CCM WALIMU TUMEKUKOSEA NINI?aaaaaaaaa TANZANIA NAKUPENDA NCHI YANGU ILA SERIKALI YAKE SIIPENDI SIIPENDI WALIMU TUUNGANE KUKAA KIMYA NI UMAKU!!
heri yako wewe umevuta mkwanja, wengine wanasubiria hiyo 43,000/= hadi tarehe 38 julaimi ni mwalimu mkoa wa mbeya,nipo daraja tgts c1 imeongezeka elfu 43000 hvyo imekuwa 343,000 kazi ipo mfumuko wa bei juu serikali ya ccm walimu tumekukosea nini?aaaaaaaaa tanzania nakupenda nchi yangu ila serikali yake siipendi siipendi walimu tuungane kukaa kimya ni umaku!!
kwani sensa lini tena?... kama vipi subiri wakati wa sensa watawapa tisheti na kofiaMi ni mwalimu mkoa wa mbeya,nipo daraja Tgts c1 imeongezeka elfu 43000 hvyo imekuwa 343,000 KAZI IPO MFUMUKO WA BEI JUU SERIKALI YA CCM WALIMU TUMEKUKOSEA NINI?aaaaaaaaa TANZANIA NAKUPENDA NCHI YANGU ILA SERIKALI YAKE SIIPENDI SIIPENDI WALIMU TUUNGANE KUKAA KIMYA NI UMAKU!!
Nawaonea huruma watoto wa kizazi hiki...watabaki na ujinga mpaka serikali ya ccm itakaposhika adabu!kwani sensa lini tena?... kama vipi subiri wakati wa sensa watawapa tisheti na kofia
Mi ni mwalimu mkoa wa mbeya,nipo daraja Tgts c1 imeongezeka elfu 43000 hvyo imekuwa 343,000 KAZI IPO MFUMUKO WA BEI JUU SERIKALI YA CCM WALIMU TUMEKUKOSEA NINI?aaaaaaaaa TANZANIA NAKUPENDA NCHI YANGU ILA SERIKALI YAKE SIIPENDI SIIPENDI WALIMU TUUNGANE KUKAA KIMYA NI UMAKU!!
Nawaonea huruma watoto wa kizazi hiki...watabaki na ujinga mpaka serikali ya ccm itakaposhika adabu!
Ukumbuke kuwa wewe ukiwa na mama yoyo wako bado unakata viuno ili upate mtoto na unataka awe msomi,sasa kama wote tutasusa ualimu huyo mtoto uliyempata kwa starehe zako na mkeo atafundshwa na nan???THINK CRITICALLY walimu waliokufundsha ww wangesomea vtu vngne ungejua kupost,wote hatuwez kuwa wanajeshi,wanasheria madokta lazma 2gawanyike...!!Kama JK aliwaambia wanafunzi wakike wanaobebeshwa mimba ni vieleele vyao na nyie mnaosomea ualimu mnavieleele sana mna umoja wa mabua mkitiwa kiberit tu kwisnei...mnachonga sana no reactio kwanin msijifunze Kenya? since last week payroll zilikua out lakin sio TUCTA wala CWT ambao wameweza kuongea kitu...yani mnatia uluma sinji mnavyolalamika lakini ngoja mkome ili muache kieleele cha kusomea ualimu na mkome...i hop this coming wk Mr Mgaya atanena kitu ila ndo mkome kusomea ualimu
Inauma sana mpendwa kod ya nyumba imepanda,umeme,maji ndo usiseme dumu la maji 300,mweeeeeeeeeeeeeeeeemaskini yani ulivyotia huruma,pole sana
heri yako wewe umevuta mkwanja, wengine wanasubiria hiyo 43,000/= hadi tarehe 38 julai