ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
toa fedha, ukiambiwa jambo la fedha mbupu zinasinyaa! acha majinga. acha ubahiri unless huna hiyo fedha.
wanawake wamekuwa wasanii sana.
Umalaya hata wewe ni malaya mwenzangu hujalazimishwa kusoma na huwezi kinipangia chochote cha kuandika shwaini wewe
Baba mpya anabeba majukumu yote, sasa huyu baba mtoto una sababu gani ya kukutana nae bar?
mkuu sasa nitalipaje ada ya mtoto wakati baba yake yupo,mi nitalipia papuchi tu.
Tunayaongelea bar tukishamaliza box zetu mbili za penasol
dahh unajiskiaje labda unapofanya hvyoo?Kweli wanaume mko tofauti mi mwanangu ana 5yrs now tangu ana mwaka mmoja na miezi mitatu anahudumiwa na baba wa kufikia kuanzia kula yake,vaa yake mpaka shule anasomeshwa na baba wa kufikia na baba yake yupo hai na ana kazi nzuri kuliko huyu babaake wa kambo anachojua yeye kutuma hela ya nguo za sikukuu tu na akija dar kumuona mwanae ananirubuni eti tuongeze mtoto wa kike hataki kuzaa na wanawake tofauti anapenda starehe akija ni twende club hela utakayotaka utapata ila akiondoka hakumbuki chochote kuhusu mtoto mi nipo kwetu ila namshukuru sana bwana niliyenae kwa matunzo mazuri ya mwanangu japo sijazaa nae
yaani kabisa kabisa anaenda nae na club!!dahhhNdio maana hatupendi wanawake waliozaa, sasa hayo mambo ya tuzae mwingine na twende club mnayaongeleaga wapi
nashindwa kumuelewa hv akiachwa utasema ana gundu?!!Baba mpya anabeba majukumu yote, sasa huyu baba mtoto una sababu gani ya kukutana nae bar?
me too my dear yaani...!!!Hivi siss umekielewa ulichoandika? Umenisononesha hata mie mwanamke mwenzio!
Sorry to say that!
hajielewi huyu mdadaOna sasa..! Then uniambie nioe mdada alozalishwa na kidume mwingine..! Khaa....jamaa likija Dar linamega kiulani, huku jamaa na kipato chake kidogo analea malaya..!
Pumbafu kabisa..!
Naomba niongezee tusi hapo...huyo dada pumbavu kabisa...amenikera sana mkuu
umenisikitisha sana lakini maisha yanaendeleaKweli wanaume mko tofauti mi mwanangu ana 5yrs now tangu ana mwaka mmoja na miezi mitatu anahudumiwa na baba wa kufikia kuanzia kula yake,vaa yake mpaka shule anasomeshwa na baba wa kufikia na baba yake yupo hai na ana kazi nzuri kuliko huyu babaake wa kambo anachojua yeye kutuma hela ya nguo za sikukuu tu na akija dar kumuona mwanae ananirubuni eti tuongeze mtoto wa kike hataki kuzaa na wanawake tofauti anapenda starehe akija ni twende club hela utakayotaka utapata ila akiondoka hakumbuki chochote kuhusu mtoto mi nipo kwetu ila namshukuru sana bwana niliyenae kwa matunzo mazuri ya mwanangu japo sijazaa nae
Wewe dada ungekuwa mke wangu nahudumia wewe na mtoto wako halafu nikufume upo klabu na zilipendwa wako mnapasha kiporo moto nyote mnatangulia mbinguni(kama mnastahili)...
Ujinga gani huu unaongea mbele yetu, umenikera mno wewe mwanamke!
dahh unajiskiaje labda unapofanya hvyoo?
yaani kabisa kabisa anaenda nae na club!!dahhh
nashindwa kumuelewa hv akiachwa utasema ana gundu?!!
me too my dear yaani...!!!
hahaaha hope this was ment to be a jok... daaah mechekaje:flame:Nimeingia kwenye uhusiano na mdada mmoja alikua ameolewa sasa ameachana na jamaa yake na walibahatika kuzaa mtoto mmoja, sasa huyu dada haishi na mtoto, mtoto yuko kwa bibi yake Kijijini, nimekua namhudumia kwa kila kitu ni kama UN inavyohudumia wakimbizi na mimi nimekua nahudumia kila kitu.
Hivi Juzi kanieleza mtoto kafukuzwa shule ada inahitajika, sasa nikajiuliza inakuaje nitoe ada tena na baba wa mtoto yupo wadau hii imekaaje? Yaani hadi hamu ya papuchi imeisha p.umbu zote zimeingia ndani mi inabidi nile kona nisije nikafa siku si zangu maana hii mizinga ya syria imenishinda.
Kweli wanaume mko tofauti mi mwanangu ana 5yrs now tangu ana mwaka mmoja na miezi mitatu anahudumiwa na baba wa kufikia kuanzia kula yake,vaa yake mpaka shule anasomeshwa na baba wa kufikia na baba yake yupo hai na ana kazi nzuri kuliko huyu babaake wa kambo anachojua yeye kutuma hela ya nguo za sikukuu tu na akija dar kumuona mwanae ananirubuni eti tuongeze mtoto wa kike hataki kuzaa na wanawake tofauti anapenda starehe akija ni twende club hela utakayotaka utapata ila akiondoka hakumbuki chochote kuhusu mtoto mi nipo kwetu ila namshukuru sana bwana niliyenae kwa matunzo mazuri ya mwanangu japo sijazaa nae
hahahahahahahaaaahahaaha hope this was ment to be a jok... daaah mechekaje:flame:
Bado kutoa Single tu...
yuko kwenye fungatemasai dada njoo uone hukuuuu!
yuko kwenye fungate