Majambazi watatu wameuawa jijini Dar es Salaam

Ndugu mpaka yetu ipo lose km watu wanapitisha kanga mafuta ya taa mahindi wanashindwa kupitisha silaha?!
Oh sawa ngoja twende taratibu kuna kitu nataka kujifunza hapa ,kweli sikatai uwezekano mkubwa zinapita huko mipakani ,ukiachilia mbali kwa cases chache ambazo zimetokea majambazi kuvamia vituo vya polisi na kuiba Silaha ,Kuna hili la Adam Malima aliyekuwa naibu waziri sijui wa nini alikutwa na SMG na yeye pia ya kwake ilipita mipakani ? Hizo risasi za SMG anachukulia wapi ?
 
Tungemuuliza walau atupe jibu ila najua mamlaka zinajua alipoipata!rejea elimu yangu hapo juu kuhusu silaha smg kutomilikiwa na raia/taasisi binafsi
 
Ina maana Polisi ndio walimchoma moto? Maana asubuhi nimepita pale Mabibo mwisho ndio walikua wanambeba, walipomchoma moto hizo risasi waliziona kweli? Au walizichukua kwanza ndio wakamchoma?
 
Nafikiri watu km kina malima wanamiliki zile za halali ila majambazi zinapita huko kwenye mikoa ya mipakani silaha zilizoathirika halali ni nyingi muno
 
Huyu wa leo hajatoroka wakati akienda kuwaonesha askari alikozificha silaha? Teh
 
Nafikiri watu km kina malima wanamiliki zile za halali ila majambazi zinapita huko kwenye mikoa ya mipakani silaha zilizoathirika halali ni nyingi muno
Mama hakuna mwananchi wa kawaida anayeruhusiwa kumiliki SMG ,Malima alikutwa na SMG huo uhalali ni upi unaousemea ??
 
Daaah!!Hatimaye Salumu Mpemba muuza vifaa vya wizi kakamatwa?Lakini atatolewa kesho tu huyo!!Anajuwa sana kula na Polisi
 
Tungemuuliza walau atupe jibu ila najua mamlaka zinajua alipoipata!rejea elimu yangu hapo juu kuhusu silaha smg kutomilikiwa na raia/taasisi binafsi
Mkuu mbona mimi sina tatizo na hilo la SMG kutomilikiwa na mtu au taasis binafsi huko tupo sawa kabisa ,Swali lingine la kizushi mkuu hivi kama naibu waziri wa Finance anakutwa na SMG ,je waziri wa mambo ya ndani kwa mfano si atakua na kifaru ??
 
Afadhali ya Kova kuliko huyu jamaa..hivi ule mpango uliozinduliwa pale Biafra na JPM uliishia wapi?
 
Move za mauaji zinaendelea," baada ya mabishano na jambazi sugu lililokua na silaha aina ya smg2, bastola 1na risasi zinazofikia 500. tumeweza kwamudu baada ya mabishano makali ya silaha, majambazi walikua 3, 2 katika yao wameuawa baada ya mabishano hayo makali yaliyoendelea" tunapenda kwaambia wasamaria wema watoe taarifa mahali popote watakapoona mtu mwenye waswas nae. HAPA KAZI TU
 
Kwa mujibu wa Tanzania Penal Code;Ujambazi unatafsiriWa kwenye kifungu namba 285.......jambazi ni mtu yeyote ambaye anaiba kitu chochote;ila kabla;au baada ya kuiba akatumia vitisho iwe kwa silaha au namna ingine yoyote katika kitendo cha wizi ndio Jambazi!!!kifungu namba 286 kinatoa adhabu ya ujambazi
Hivi jambazi anapotumia kitisho kwa silaha kabla ya kuchukua kitu na baada ya kutoa hicho kitisho akawa amechukua hicho kitu hapo anakuwa ameiba au?
 
Back
Top Bottom