Majambazi wapora Buguruni kwa pikipiki aina ya Boksa!!

Majambazi wapora Buguruni kwa pikipiki aina ya Boksa!!

Matukio kama haya yameanza tena .......!!?
au ni watoto wa mbwa wamerudi!?
Khaa!!kama nyie sasa hivi mnajilipa laki3 kwa siku. Mnatafuna kodi zetu bila kunawa. Hakuna mgawo wa haki kwenye keki ya taifa. Mnategemea nini??
 
mijitu mioga sana, kazi kujiita makamanda buree, mnashindwa kuvishika vijambazi viwili! waje kwetu kinesi waone

Tumia akili. muda ulikua saa tano usiku. watu walikua Junction bar wananawa na kula bata. anaeibiwa ni mwingine. ulitaka waache bata waje wakumbane na risasi.
 
Atutajie shule alizosoma msingi na sekondari walimu wake wa kiswahili wajiuzulu kwani haya ni makapi.inabidi akupm mkubaliane ni namna gani utamsaidia kujifunza kuandika.usisahau kumkumbusha kununua daftari la vyumba vyumba



Hahahahaaa.my bro nilkuwa kazn ucku so wagonjwa walkuwa wamenchosha sana.bt nimekuelewa ushaul wako nitaufanyia kaz.
 
Matukio kama haya yameanza tena .......!!?
au ni watoto wa mbwa wamerudi!?
Khaa!!kama nyie sasa hivi mnajilipa laki3 kwa siku. Mnatafuna kodi zetu bila kunawa. Hakuna mgawo wa haki kwenye keki ya taifa. Mnategemea nini??
 
Khaa!!kama nyie sasa hivi mnajilipa laki3 kwa siku. Mnatafuna kodi zetu bila kunawa. Hakuna mgawo wa haki kwenye keki ya taifa. Mnategemea nini??

Sasa ndio waibe kwenye bekari ya mlipa kodi. hizo ofc za serkal hawazijui
 
Hata kama ingekuwa saa tano mchana utaweza kuwazuia labda unatafuta kifo
Tumia akili. muda ulikua saa tano usiku. watu walikua Junction bar wananawa na kula bata. anaeibiwa ni mwingine. ulitaka waache bata waje wakumbane na risasi.
 
hii nchi itafika kipindi watu watashindwa kutembea usiku
 
majambazi wakishaondoka utawaona wanakuja na magari yao mengi na ving'ora mpaka gari la kuwasha linakuja
 
Hahahahaaa.my bro nilkuwa kazn ucku so wagonjwa walkuwa wamenchosha sana.bt nimekuelewa ushaul wako nitaufanyia kaz.

kumbe ni muuguzi!!yani badala ya kudeal ba wagonjwa wewe unakimbilia JF?
Utatuulia wagonjwa wewe.
 
Dakika tatu zilizopita majambazi wamepola hapa BUguruni sheli kwenye bakery ya kuuza mikate na vitafunwa.
Wamekuja bila woga na pikipiki lao la Boksa na kuchukua mkwanja tena bila woga na kufyatua risasi juu.
Mie niko bar ya jirani hapa junction ilibidi kidogo wateja wa junction tujifiche kwa mda na mpaka sasa hakuna askari alofika wala nini na ni karibu na kituo kikuu cha polisi Buguruni. Kweli haya majanga.

Ujambazi hauwezi kufanywa maeneo jirani na Polisi kama hapo bila Polisi kushiriki hilo deal.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom