Android 00
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 774
- 226
Walikaa muda gani kwenye tukio? huwa wanaambiwa mnapewa dakika 5 tuu au 10.
We umeelewa alichokiandika mtoa mada?
Walikuwa baa ya pembeni wakajificha..
Instead of organizng and save
Nimeelewa vizuri sana, ila wewe mwenzangu umeelewa vizuri zaidi. Ngoja siku majambazi yakiwa karibu yako utajiorganize na wenzako na mu save. Wameacha polisi na silaha zao wewe unapayuka nini? Utakufa bure kwa uvivu wa kufikiria! Yaani ni heri ya huyu mtoa mada alifanya la busara sana pamoja na walevi wengine, sio wewe uliyeelewa zaidi
acha uoga mwanaume..
Mkuu unachonga sana kwa kujifanya wewe bonge la shujaa usieogopa; hivi kwako gate ya chuma yanini? Security lights za nini kwako? Siku zote kumbuka hadui na tishio la binadamu ni binadamu mwenzie.
Mkuu kunguru mwoga huepusha bawa lake!!!
Mie niko bar ya jirani hapa junction ilibidi kidogo wateja wa junction tujifiche kwa mda
mkuu unataka nimsifie huyu jamaa kwa kujificha?
hapana sitafanya hivyo.
ona anachosema hapa
anakuambia yeye yupo baa ya jirani, siyo sehemu ya tukio.
kweli kabisa walishindwa kutumia akili nyingine zaidi ya kujificha?
what if hao jamaa wangehamia hapo baa kuchukua pesa?
huyu kamanda si angejinyea kabisa? we have to think bana. :bored::bored:
Khaa!! wote ni mijambazi tu. Wanaoiba kwenye mabekari au wanaojilipa mapesa mengi kutokana na kodi zetu. wote sawa tu :bored:Sasa ndio waibe kwenye bekari ya mlipa kodi. hizo ofc za serkal hawazijui