MUSONI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 904
- 692
Wanambeep kamanda Mangu.....hizi bodaboda na pikipiki sasa ni majanga.....Oysterbay wiki iliyopita walimuua mlinzi aliyewakurupua wameiba begi kwenye gari....karibu na Jaques.....bar .....pia Chan'gombe walipora 50mil za mauzo kwa bastora....saa moja jioni.......