Majambazi wamevamia Kibaha

Majambazi wamevamia Kibaha

Wewe Polisi Mstahafu unaonyesha jinsi gani kichwa chako kilivyojaa maji,hivi hakuna usalama wa taifa? Kipindi cha nyerere jambazi akipanda basi kuelekea eneo la tukio tu askari washajua,nyie polisi wa sasa ni wa kimaslahi mpo kwenye payroll ya majambazi hamlindi chochote,ukiona askari wanazunguka na defenda sio kwamba wapo lindoni hapana wapo wanatafuta watu waliobeba tv/friji/deck,nondo,cement ili wagawane nao! Polisi kuna kitengo cha ukanzu hao ndio kazi yao kujichomeka sehemu zote na kuwa na mtandao wa chini kwa chini kwa informers wao kupata taarifa zote au jambo lisilo la kawaida,ukiona hata boda boda au gari alieleweki hutoa taarifa fasta na kufanya ukaguzi hizo inatakiwa muwe proactive!
hawezi kuwa mfalme njozi polisi nae ni binaadam kama wewe bila mwanainch kumpa ushirikiyano atajuwaje???? Si kweli nani karipoti ulinzi usiletwe? Wanainchi tuna bobeta kwenye siyasa tunaacha mitaa yetu kuilinda.
 
Nadhani polisi ndio majambazi,kwanini waweze kuwa na intelligensia ya vyama vya siasa tu lkn matukio ya silaha hawawezi,na hata kuwatafuta hao majambazi haiwezekani.Hakuna mwingine polisi wanahusika na ujambazi ima wao wenyewe kwa kushiriki moja kwa moja au kwa kuuficha mtandao wa ujambazi.
 
Haha wakifukuzana na cdm wanakuwa hivi.. ila wakiona majambazi wanakula chocho ..nasha wishika kusema na wao ni majambaz
 

Attachments

  • 1411358875055.jpg
    1411358875055.jpg
    36.1 KB · Views: 153
Kwa maelezo ya mashuhuda jamaa walikuwa watatu,baada ya kufanya mauaji walitembea kwa miguu
 
Chama Cha Majambazi @ work!

Intelejensia yao inafanya kazi kwenye mikutano ya vyama vya upinzani tu!

K.e.n.g.e. wakubwa!
 
Back
Top Bottom