Majambazi wamevamia Kibaha

Majambazi wamevamia Kibaha

Ni hatari sana hawa majambazi, sijui hawa askari intelijensia yao ikoje????
 
usalama wa nchi hhauwezekani bila kwa hisan ya watu wa marekani.Wenyewe hao ni majambazi
 
Eneo lolote analopita NAPE akiondoka lazima ujambazi ufanyike kwani wanachama wao wengi ni wale wahalifu wanaotumia CCM kama chaka la kujificha hivyo wakiwa katika ziara zao hawawezi kuondoka bila kufanya kazi yao waliyoizoea.
 
Hivi ni kwanini kusiwepo na utaratibu wa kumwajibisha mkuu wa kituo cha polisi (ocs) eneo lilitokea tukio? Na kweli yawezekana polisi nao wanahusika na ujambazi kwani ule wa pesa za barclays bank kinondoni alihusika mmojawapo wa kituo cha oysterbay na taarifa zake zimefanywa siri hadi leo. Kwani waajiri wao hawawachunguzi tabia zao kabla na baada ya kuwaajiri? Watatumaliza jama na vijisenti vyetu vya kununulia munyu!
 
Hebu wewe jinias utuambie ni wakati gani majambazi watavamia na wapi?

Akili zenu ziko makalioni nyie kenge, mnadhani polisi ni Yesu watajua wakati majambazi wanavamia?

Wewe ndo akili yako iko kwenye visigino,huna hata aibu unawatetea policcm,wanatoa wapi intelijensia ya kuua waandishi,kudhibiti maandamano ya haki,kung'oa watu meno,kutoboa macho ya watu,kulinda mafisadi,kuwapa silaha na kushirikiana na wahalifu wa kila aina,kukamata vijana mitaani na kuwapa kesi za kijinga eti ni wazembe na wazururaji wakati hiyo ilikuwa sheria ya kikoloni iliyotumika kukandamiza weusi,halafu wanakosa intelijensia ya kudhibiti majambazi,tena utawala wa kikwete na mkapa ndo majambazi yametamba sana maana yanalindwa na hao hao policcm,koma kabisa kuandika uharo wa kuwatetea hawa m.bwa yaani tumewachoka,iko siku watashika adabu nyambaf wewe...,%@§*¤<'~& zako muone kwanza.
 
ni kweli umeme ulikatika tangu sa 11 jioni kibaha nzima ndo tukio likatokea maili 1
walikua wamemfuatilia mzee 1 omwenye kibegi wakampiga mbili za kifua na kuondoka na kibegi..
pia wakaaingia kwenye mpesa na duka 1 wakachukua ela
Niliambiwa waliuliwa watu wawili' katika maelezo yako kama sijakuelewa vibaya inaonyesha kauwawa mtu mmoja nisahihishe hapo ndugu. Asante kwakutujuza zaidi.
 
hii nchi viongozi wake MUNGU amewanyima busara kama hawa wa ccm ndo hewa kabisa wanatumia nguvu nyingi sana kuikandamiza upinzani kuliko kuupinga umasikini dhuluma haya huko majambazi yamevamia hakuna polisi aliyefika lakini ingekuwa ni maandamano ya chadema wangekuja na silaha kama wanaenda vitani hii serikali ya ccm imeshachoka
 
Duuuh
Yani leo polisi kujisahau kidogo na chadema watu wanafanya yao?
Wanalinda maandamano uku wanasahau kwingine?
R.I.P Walipoteza maisha

Intelgensia imehamia kwenye CDM ngurue wanajipitia kwa raha zao
 
Sasa ulitaka aende na kirungu kupambana nayo?

Mimi ndio maana niliamua kuacha hii kazi ya kulinda kenge wasio na shukurani...

Hongera aisee kwa kuiacha hiyo sio kazi bora nikalinde geti la muhindi - kariakoo
 
Policcm mibichwa maji kweli wao wapo busy na cdm intellegensia ya majambazi huwa hawapati kabisa!!

mkuu kwa haraka haraka wewe unaona kosa ni la polisi ama sirikali?

kwani polisi inajiendesha au inaendeshwa?
 
Eneo lolote analopita NAPE akiondoka lazima ujambazi ufanyike kwani wanachama wao wengi ni wale wahalifu wanaotumia CCM kama chaka la kujificha hivyo wakiwa katika ziara zao hawawezi kuondoka bila kufanya kazi yao waliyoizoea.

...kwani tembo wameshawamaliza mpaka wamehamia kwa watu ?najua faru wamewamaliza,mpaka yule wa jk dadeki mzee wa weka mbali na tembo kamla...daah....!
 
hao majambazi jana waliamulia kweli kibaha, maana wamevamia hadi maeneo ya kwa mathias

namshukuru MUNGU kuninusuru na watu wale, nilikuwa mwanariadha kwa muda mfupi

haya mambo yasikie tu kwa jirani
 
hao majambazi jana waliamulia kweli kibaha, maana wamevamia hadi maeneo ya kwa mathias

namshukuru MUNGU kuninusuru na watu wale, nilikuwa mwanariadha kwa muda mfupi

haya mambo yasikie tu kwa jirani

hahahaaa jamani mama watoto we ni full FILBERT BAYI.. dahh kweli unaogopa kufa.. pole lakini mke wangu kipenzi jamani.. romantic eyes
 
Last edited by a moderator:
Hii nchi iko vizuri sana sana. Tatizo ni uelewa wa Watanzania. Uvamizi na ujambazi ni sehemu ya maendeleo ya nchi na kama nchi haina ujambazi basi ujue hakuna maendeleo. Ujambazi uko katika levels tofauti kutegemeana na nchi. Ulaya ni zaidi ila watu hawawezi kufeel kwa kuwa ni wa high tech. Marekani ndo balaa zaidi.Tatizo wa huku Africa unaambatana na mauaji. Lakini Ujambazi ni popote na muda wowote bila kujali chochote
 
kweli.. nahisi na ww ni jambazi..
 
Back
Top Bottom