EX COP
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 240
- 87
Wee mbusi maji usinifanye ni logg off...Sasa kwani kazi yako ni nini??? Kama huwezi acha uwe dereva wa bodaboda!

Wee mbusi maji usinifanye ni logg off...
Sasa ulitaka aende na kirungu kupambana nayo?
Mimi ndio maana niliamua kuacha hii kazi ya kulinda kenge wasio na shukurani...
piga ua zaragaza zika fukua wewe lazima utakuwa chris lukos. .
..kenge ww
Hii nchi ishakuwa kama Nigeria aisee
Usikimbie na mambo' tulia fuatilia mambo ndo uandike kitu hapa. Unabisha wakati mimi niliongea na nesi ambaye alikwepo night shift hospital ya Tumbi na alithibitisha kwamba wamepokea mwili na majeruhi wa hilo tukio.hiyo issue sio kweli niko chalinze nimeuliza watu wa Kibaha
Hebu wewe jinias utuambie ni wakati gani majambazi watavamia na wapi?
Akili zenu ziko makalioni nyie kenge, mnadhani polisi ni Yesu watajua wakati majambazi wanavamia?
Kuna mambo manne ningeweka death penalties: Murder, Ujambazi wa silaha (hata kama hakuna aliyeuliwa), kubaka watoto na kwa watu wa sembe kubwa (sio wateja).

Naambiwa kuna askari alikuwa maeneo yakaribu baada yakuona majambazi yana mashine za hatari eti kavua gwanda la juu kakimbia
kifua wazi kuogopa asijulikane na hao jamaa.

true in life,jambaz,mbakaji,muuza unga na muuaji hawa wa kunyongwa
hiyo issue sio kweli niko chalinze nimeuliza watu wa Kibaha
hii nchi imeshafika pabaya