Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 693
- 1,907
Ni hilo lilikua jukumu lake kuhakikisha polisi wanafanya kazi kwa weledi bila hata uwepo wake. Angefanya marekebisho ya sheria kuongeza weledi kwenye jeshi letu.System hata iwe bora vipi, kama hakuna utashi wa ku-inforce hiyo system hata iwekwe na nani haiana maana. enforcers wetu hawapo. PoliCCM
Nimekuelewa... Binafsi sipendi chama chochote ila panapo haki tusione aibu kuiteteaKwenye swala la ujambazi alifanikiwa sana tu ila ni swala ambalo ufanisi wake ulimuhitaji yeye mwenyew unaona shida ilipo yaani pasipo yeye hakuna shughuli shida inaanzia hapo.
Uliongezeka zaidi wakati wa Shujaa wa Mazezeta alipokuwa RaisiUlimboka naye alivyotekwa na kuachwa kule Bagamoyo ilikuwa wakati gani sijui? JK time; mnasahahu kuwa Utekaji ni system ya serikali ya CCM, siyo ya JPM
Cha kufanya na cha kuanzia,ni katiba, IGP asichaguliwe na mtu mmoja nafasi ya IGP itangazwe na watanzania wajitokeze kuiomba.na IGP sio lazima awe ni Polisi.Hivi hizi maneno za mfumo aka system ni zipi bandugu munieleweshe. Yaan twende Kwa mifano. Kua kuteketeza ujambazi mfumo gani uwepo. Maana naona watu tuko general Sana.
Ukiondoa hilo la Tanga, nitajie tukio lingine la ujambazi hivi karibuni, ili tuhalalaishe kuwa 'wamerudi'Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.
Sasa hatupo polisi watatenda hivo bila uwepo wake?dawa ya majambazi ni Magufulism pekee.
Wew unaejiandaa kumlaumu mwenzako wew umeandaa nin? Au mfumo gan? Wa kuisaidia tanzania na Taifa kwa ujumla au ata familia yako sio kila kitu kulaumu tu wew ni binadamu km wao sasa jitafakari !!!!Inabidi tumlaumu magufuli yeye kama kiongozi Bora alitakiwa kuandaa system ambayo itafanya kazi kwa weledi bila hata uwepo wake maana siku za mwanadamu duniani ni chache zinahesabika.
Watu wa maana siku zote wanaandaa mfumo ambao utajiendesha bila hata uwepo wake sio mfumo tegemezi ambao hauna ufanisi bila uwepo wake.
Alaaniwe yeyote yule amtegemeae mwanadamu.
Safi, muelezee na kaelimu kidogoWew unaejiandaa kumlaumu mwenzako wew umeandaa nin? Au mfumo gan? Wa kuisaidia tanzania na Taifa kwa ujumla au ata familia yako sio kila kitu kulaumu tu wew ni binadamu km wao sasa jitafakari !!!!
Samahani kama umekwazika mkuuu.Wew unaejiandaa kumlaumu mwenzako wew umeandaa nin? Au mfumo gan? Wa kuisaidia tanzania na Taifa kwa ujumla au ata familia yako sio kila kitu kulaumu tu wew ni binadamu km wao sasa jitafakari !!!!
Kama hupendi mfumo lazima ukubali kila kitabu kina zama zake.Jengeni mfumo nyie sasa, yeye aliweza tatua tatizo tukalisahau, hayo ya mfumo ni ya kwenu na porojo kibao, kazi sifuri.
mtamkumbuka sana JPMMatukio ambayo tulisha yasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu. Kwa mujibu wa taarifa kupitia vyombo vya habari tayari majambazi wamenyonga mlinzi wa benki. Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.
Aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. Magufuli yeye aliwai kuwaita wakuu wote wa vyomboa vya ulinzi na usalama na kuwaambia kuwa ni bora niendelee kusikia majambazi wameiba au wameua lakini sitaki kusikia jambazi kafikishwa polisi au mahakamani naomba muwanyang'anye silaha, mwisho wa kunukuu. (na hapo hata mimi sichangii zaidi).
mmmh Acha niendelee kutafakari ulichoongea. Wabunge wanachaguliwa na wananchi. Kuna wezi na walafi na wabadhirifu kuwashinda wabunge nchi hii. Mawaziri nao ni wabunge kutwaa tunaskia wamepiga dili wanatumbuliwa.Cha kufanya na cha kuanzia,ni katiba, IGP asichaguliwe na mtu mmoja nafasi ya IGP itangazwe na watanzania wajitokeze kuiomba.na IGP sio lazima awe ni Polisi.
Kaka.usibishane na mipumbavu...itakutia hasira tuJengeni mfumo nyie sasa, yeye aliweza tatua tatizo tukalisahau, hayo ya mfumo ni ya kwenu na porojo kibao, kazi sifuri.
hahahhaaaa....mbinu za vita hazitolewi kwenye mijadala mangi!!( yaani hadharani) intelijensia.....Hivi hizi maneno za mfumo aka system ni zipi bandugu munieleweshe. Yaan twende Kwa mifano. Kua kuteketeza ujambazi mfumo gani uwepo. Maana naona watu tuko general Sana.
Inabidi tumlaumu magufuli yeye kama kiongozi Bora alitakiwa kuandaa system ambayo itafanya kazi kwa weledi bila hata uwepo wake maana siku za mwanadamu duniani ni chache zinahesabika.
Watu wa maana siku zote wanaandaa mfumo ambao utajiendesha bila hata uwepo wake sio mfumo tegemezi ambao hauna ufanisi bila uwepo wake.
Alaaniwe yeyote yule amtegemeae mwanadamu.
Kwani yeye kaondoka na mfumo upi?Ndio ujue kwamba Magufuli alikuwa ni rais wa hovyo, aliendesha nchi ktk namna ya watu kumuogopa yeye pasipo kujenga mifumo imara.
Angejenga mifumo imara suala la majambazi kutoweka lingekuwa la jumla jumla.