Majambazi wajeruhi na kupora Ngara

Anyway tumemrekebisha mleta mada sio Mara ni Kagera.

Je suruhisho ni kuweka wanajeshi kwenye maeneo ya mipakani kama alivyosema uchwara au lah...!!!!!!

Leo majambazi watano wameteka kijiji, je wangekuja 20
 
Pamoja na juhudi za JPM kuhakikisha anawafikiria sana wanajeshi na mapolisi katika baadhi ya nyadhifa haswa u-DC na u-RC, lakini katika tukio la kushangaza mkoani Mara wilaya ya Ngara kijiji cha Benako majambazi wameteka kijiji kwa masaa matatu.

MY TAKE:
JPM siku anaelezea kwanini amechagua wanajeshi kushika hizo nafasi alisema ni "coz of wanauzoefu na mambo ya usalama" hiyo wilaya ya ngara ipo chini ya LUTENI KANALI. Michael M. Mtenjele.

Sasa kama majambazi watano tu wanafunga kijiji kwa masaa matatu bila ya polisi wala msaada mwingine wowote kufika eneo la tukio, je hizi wilaya zitakua salama kweli kama JPM alivyotuhaidi....?

Hivi mara kuna Ngara ....!Teh Teh
 
Ndio nimeisikia leo Redio One. Kwa sababu jana sikuwa jirani na vyombo vya habari ndio maana sikuisikia.
ulikuwa wapi jamani????????

au ulienda 77?
by the way sabasaba ilikuwepo maana sijasikia mtu yeyote mtaani kwetu akiiongelea au nayo imefutwaga?
 
Hahahaah sabasaba ilikuwepo, ila kwenda ndio utata kila mtu yupo bize kuisaka shilingi atakumbuka mambo ya sabasaba...!!??
 
Pamoja na juhudi za JPM kuhakikisha anawafikiria sana wanajeshi na mapolisi katika baadhi ya nyadhifa haswa u-DC na u-RC, lakini katika tukio la kushangaza mkoani Mara wilaya ya Ngara kijiji cha Benako majambazi wameteka kijiji kwa masaa matatu.

MY TAKE:
JPM siku anaelezea kwanini amechagua wanajeshi kushika hizo nafasi alisema ni "coz of wanauzoefu na mambo ya usalama" hiyo wilaya ya ngara ipo chini ya LUTENI KANALI. Michael M. Mtenjele.

Sasa kama majambazi watano tu wanafunga kijiji kwa masaa matatu bila ya polisi wala msaada mwingine wowote kufika eneo la tukio, je hizi wilaya zitakua salama kweli kama JPM alivyotuhaidi....?
Umeuliza vizuri sana, lkn toa na mapendekezo yako uonavyo ww nn kifanyike?
 
Pamoja na juhudi za JPM kuhakikisha anawafikiria sana wanajeshi na mapolisi katika baadhi ya nyadhifa haswa u-DC na u-RC, lakini katika tukio la kushangaza mkoani Mara wilaya ya Ngara kijiji cha Benako majambazi wameteka kijiji kwa masaa matatu.

MY TAKE:
JPM siku anaelezea kwanini amechagua wanajeshi kushika hizo nafasi alisema ni "coz of wanauzoefu na mambo ya usalama" hiyo wilaya ya ngara ipo chini ya LUTENI KANALI. Michael M. Mtenjele.

Sasa kama majambazi watano tu wanafunga kijiji kwa masaa matatu bila ya polisi wala msaada mwingine wowote kufika eneo la tukio, je hizi wilaya zitakua salama kweli kama JPM alivyotuhaidi....?
Mhu umeniacha kapa mtoa mada. Mara-Ngara wapi na wapi? Mhu Hivi siku hizi kuna Geography ya mikoa na nchi kweli? Rudia darasa la tatu au nne.
 
Si kweli kwamba Majambazi wameteka Kijiji, Wala si kweli kwamba Majambazi walipambana na vyombo vya Usalama.

Usahihi ni;

Benaco ni Centre ya Biashara iliyopo Kijiji cha Kasulo Kata Kasulo baada ya kugawanywa. Zamani ilukuwa ya Rusumo Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera. Majambazi Waliovamia walikua Wawili wenye Bunduki. Walivamia Kibanda cha M Pesa cha Mfanyabiashara aitwaye Niko na kufanikiwa Kupora Pesa za wateja waliokuwepo na Mfanya biashara mwenyewe.

Walijeruhi Mtu Mmoja aliyejaribu kukimbia. Dakika kumi Baada ya Majambazi kuondoka, Ndipo Polisi walifika na kuanza kufyatua risaisi Hewani. KUtokea sehemu ya tukio hadi kituo cha Polisi ni umbali wa KM 1 tu, lakini Polisi walichelewa. Majambazi walitumia kama dakika 10 tu wakaondoka.

Pesa iliyoibiwa haijafahamika kwani alikuwa bado hajafunga Mahesabu. Ila Mteja mmoja mwenyeji wa Rusumo alikua katoa Mil 1 ambayo Majambazi waliondoka nayo.
 
woyee usiwazie mkuu ukiweka akili yako kuwa maisha yataimarika na kiuhalisia hayatakaa yaimarike utaumia zaidi

ni sawa na kusubiri bati ya azam ubungo bus terminal......................
Hahahaah ila kwa staili hii hakuna dalili ya maisha kuimarika kwa kweli.
 
Yaani majambazi wamepora hadi kujipa overtime.....ya uporaji ...kupora Massa matatu
Si mchezo polisi walikuwa wapi muda wote huo.
Au nguvu nyingi wameelekeza ktk mikutano ya ukawa na bavicha.....
 
Hahahaah ila kwa staili hii hakuna dalili ya maisha kuimarika kwa kweli.
SIO SIKU ZA USONI... KWA HESABU ZA HARAKA HARAKA UCHUMI UMEDORORA!!! NIMEONA MAMBO YA UTALII NAYO YANADORORRA, NIKAPATA HUZUNI SANA KWAKWELI
 
Back
Top Bottom