Majambazi wajeruhi na kupora Ngara

Polisi hawawezi kupambana na uhalifu nchini, Kwanza hawana vifaa vya kutosha, pia polisi wetu hawana uzalendo wa kutetea nchi,
Kazi Ile wamechukulia kama ajira nyingine serikalini,
Pia polisi ni wachache sana kulinganisha na wingi wa watu katika maeneo yote,
Ingiza jeshi mitaani wanafanya nini makambini wanakula mishahara tu Ndio maana wengi wao wana vitambi tu, nchi nyingi duniani zinatumia jeshi na polisi kwa pamoja kuhakikisha nchi inakuwa salama,
Sasa kwetu utasikia wanajeshi kazi yao kulinda mipaka ya nchi, kibaha kuna mpaka gani wa nchi? Pale kuna kambi kama 3 zao, wanafanya nini?
Lazima na wao wale jasho la kazi yao sio kazi yao kuripoti na kurudi kwenye Bar tu kunywa
Mkuu Chunga Lugha yako
Sadizim iz inevitabo wen ze situesheni iz alaming
 
Habari mbaya kwa nchi huwa zinashangiliwa sana na ufipa zijui ni kwa nini baadhi ya watu wanapenda chadema kuliko nchi
 
Pamoja na juhudi za JPM kuhakikisha anawafikiria sana wanajeshi na mapolisi katika baadhi ya nyadhifa haswa u-DC na u-RC, lakini katika tukio la kushangaza mkoani Mara wilaya ya Ngara kijiji cha Benako majambazi wameteka kijiji kwa masaa matatu.

MY TAKE:
JPM siku anaelezea kwanini amechagua wanajeshi kushika hizo nafasi alisema ni "coz of wanauzoefu na mambo ya usalama" hiyo wilaya ya ngara ipo chini ya LUTENI KANALI. Michael M. Mtenjele.

Sasa kama majambazi watano tu wanafunga kijiji kwa masaa matatu bila ya polisi wala msaada mwingine wowote kufika eneo la tukio, je hizi wilaya zitakua salama kweli kama JPM alivyotuhaidi....?
Kwa hiyo wewe unafurahia??
 
Polisi hawawezi kupambana na uhalifu nchini, Kwanza hawana vifaa vya kutosha, pia polisi wetu hawana uzalendo wa kutetea nchi,
Kazi Ile wamechukulia kama ajira nyingine serikalini,
Pia polisi ni wachache sana kulinganisha na wingi wa watu katika maeneo yote,
Ingiza jeshi mitaani wanafanya nini makambini wanakula mishahara tu Ndio maana wengi wao wana vitambi tu, nchi nyingi duniani zinatumia jeshi na polisi kwa pamoja kuhakikisha nchi inakuwa salama,
Sasa kwetu utasikia wanajeshi kazi yao kulinda mipaka ya nchi, kibaha kuna mpaka gani wa nchi? Pale kuna kambi kama 3 zao, wanafanya nini?
Lazima na wao wale jasho la kazi yao sio kazi yao kuripoti na kurudi kwenye Bar tu kunywa
Wanajeshi wangekuwa wanalala na hawafanyi kazi usingepata time na hata ujasiri wa kushika kisimu chako na kubwabwaja.

Leta kejeri zinapelekea wake zenu kuwaunganisha katika group za kike mitandaon, maana hamna tofauti
 
Kwanza benaco sio mpaka ni mwa tz na Burundi ila karibu na mpaka na Rwanda...Pili Benaco sio kata ya kabanga ila rusumo...kuhusu ilo LA kuteka kijiji ni sawa kabisa haya mambo yanatokea sana uko ni vile uwa hayapewi air time kwenye vyombo vya habari
Haya mambo tujiandae kuendelea kuyasikia maana haya mambo yanafanywa na wanyarwanda na kama mnavyojua ndo hivo washapata mtetezi nchini...tujiandae kusikia vita za wakulima na wafugaji maana lazima wanyarwanda warudishe ng'ombe wao tena kwenye mashamba yetu..
Haki ya mungu japo Mimi ni ccm lakin sikubaliani na rwanda
 
Ila kiukwel sio suala la kulaumu tu. Huo mkoa wa kagera ni khatar sana kwa matukio ya ujambaz..nakumbuka 1997 tunaenda kumzika father huko ngara tulikua tunaenda na escort ya polisi.. Huo mkoa una wahamiaj na silaha nyingi zilizozagaa zagaa tu.. ,, suala la polisi kuchelewa kufika napata was was kidogo , labda taarifa zilichelewa kufika.
Alaf polisi nao ni waja wa Mola.. Nyie mnataka waende kichwa kichwa wakakutane ni vigrenade....
 
Mwandishi umetisha kweri kweri. Inamaana Wurundi imepakana na Musoma??? Dah! Muraa, tatigha mbane. Ubu ni ubukaangi kapisa kapisa. Ntakuutuna khangi.
Umukowa weitu, unasema tumeberekwa kure kwa Watusi.ama kweri tumekwicha. Nimeria kama mwanamuke kapisa tatoo. Kweri bono mbee, mang'ana ghasarikire mbaane. Erimu yetu ii ya kata! Afwazali Makufuri kaikataa.
Duh mkuu naona na wewe kaelimu kashida kidogo hata kwenye uandishi.
 
Back
Top Bottom