Majambazi waiba manzese-chama.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Kuna majambazi wamemwibia mama mmoja kiasi cha pesa alichokuanacho kwenye gari......mchezo ulikua hivi.....huyo mama alikua kwenye foleni mbele kidogo ya kituo cha chama, na nyuma kidogo ya kona ya mabibo ( Opp big braza ), Majambazi hayo yakiwana silaha, na piki piki tatu, alishuka mmoja, na kuvunja kioo kisha kumwonyesha huyo mama bunduki huku akimwamuru kumkabidhi pesa hizo kisha kupanda pikipiki na kutokomea kusikojulikana.. haijajulikana ni kiasi gani ila inaaminika ni kiasi kikubwa cha pesa...nawakilisha. source. mimi nipo eneo la tukio.
 
hizi pikipiki cku nizi ndio zimekuwa za kuibia siju tufanye nini, na inakuwaje mtu unatembea na pesa nyingi bila ulinzi madhubuti?
 
Mkuu, kwa miundombinu ipi iliyopo ambayo itamfanya mtu asiwe na pesa either kwenye dula lake, ofisi yake, nyumbani au kwenye gari at some point?
 
hawa majambazi mpaka wavunje kioo na kuwa na silaha ina maanisha walikuwa na taarifa za awali kuwa huyo mama alikuwa na hela.
 
Hizi pikipiki siku hizi zimekuwa kama silaha kova yuko wapi sikuhizi mbona simsikii hewani akizitolea tamko au ni huu mgao wa giza
 
hao ''tigo'' wapo wapi? Wao wanaenda kamata wanaotanua service road!.
Watasema walikua wanajipanga
 
hawa majambazi mpaka wavunje kioo na kuwa na silaha ina maanisha walikuwa na taarifa za awali kuwa huyo mama alikuwa na hela.
huyo kauzwa na watu wake wa karibu,tushukru hawakudhulu,hela zinatafutwa lakini kiungo au uhai hautafutwi
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom