Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 422
- 86
Ni habar zilizo tufikia hv punde zinasema majambazi sita yameuawa huko sekenke wilayani iramba katika mapambano makali na jesh la polisi. Majambazi hayo yalikua na silaha za moto ikiwemo smg iliyokutwa na risasi zaidi ya 100 na mabumu 6. Aidha kati ya majambazi hayo watano ni raia wa burundi na m1 ni mtanzania. Majambaz hayo yamenaswa kwenye mtego wa polisi kwa msaada mkubwa wa polis jamii. Source itv brkng newz.