Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,305
Yaani tungempata jambazi wa jamii forum.com hapa ulkuwa uwanja wake huu angeweza kutujulisha hao wakubwa zake inakuwaje?
We noumaSkills zake zisipotee, serikali imruhusu afundishe vijana.
Mkuu huu ni mwandiko wa lugha ganihahahaha wanikumbusha valala na vaghothi vetu kula kaa: hena siku Pius Msekwa eezie kula vaghothi veimba: MTHEKWA MTHEKWA
Nchi zinazojali watu wao, wangeshambana na kujua aliiba nini, aliwahi kuua n.k. na kwa kutumia sheria zilizopo kama anaweza kushtakiwa.
Sura yake bado inatisha
Sasa hujaelewa nini?ahahaaa sijaelewa
Hata hupendezi,yaani umekalia kukatisha tuuuu.Aiseeee!
SikuHahahahahh
Mamii siku hizi umekuwa mpole saaaaaana.Hahahahahh
mkuu umeumiza mbav zanguJambai-: jambazi
Kwa hiyo hapo jamaa linakula kiinua mgongo tu... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Lini nilikua mkaliSiku
Mamii siku hizi umekuwa mpole saaaaaana.
Issue itakuja kuwa ngumu kwenye evidence mkuuKosa la jinai halina Ukomo wa Muda Sheria ichukue mkondo wake
Sipati picha walipokutana uso kwa uso tena old friends....Mrema alijua kuinyoosha nchi kwenye ishu za ujambazi na uwajibikaji, rekodi yake ilidumu muda mrefu lakini kila kitu kina wakati wakeHuyu anaitwa Mzee Kimanga,mmoja kati ya majambazi wakubwa sana wa miaka ya 1980 mpaka 1990 mwanzoni.Alikuwa jambazi sugu na wa hatari sana sana...Huyu jamaa alianza kwa kuiba kwenya train za kutoka Pwani kwenda Bara miaka hiyo,walikuwa wanasafiri na train bila nauli toka Dsm mpaka Kigoma/Mpanda au kutoka Dsm kwenda Mwanza.
Hawa jamaa waliitwa "Wamanda Vaku".Walikuwa wanapora abiria kwenye train kuanzia mkate wa boflo mpaka mizigo ya abairia,wanakimbizana na "Tii-Tii" behewa hadi behewa,akitoka behewa hili kugakuwa tiketi wao wanakimbilia behewa jingine.
Baadae jamaa akaingia kwenye wizi wa kutumia silaha,akiiba na kuvunja kwenye nyumba za watu na Bank...Miaka ya 90 mwanzoni waliwahi vamia Bank wakatoka na mkwanja wa maana sana,baadae wakawa wa ateka hadi magari kwa kushirikiana na majambazi wa Nairobi Kenya.Kifupi jamaa alikuwa "nyo..koooo" kwa ujambazi.
Alipoingia Augustino Mrema akatangaza kiama kwa majambazi sugu,kwa kutumia intelijensia yake Mrema akamtumia ujumbe kuwa amesikia jamaa ndio mchora ramani na ana genge lake..Anampa week mbili "atakuwa ameletewa kichwa chake juu ya meza".Duuh!Jamaa akadhani utani!!Siku mbili tatu akiwa mitaa ya Sinza alipigwa advirtize ya risasi nyumba ya gari yake,siku mbili baadae jamaa akasalimisha bunduki zote alizokuwa nazo mapemaaa asubuhi hata Mrema hajaingia ofisini jamaa akawa anamsubiri na mzigo wa bunduki zake,akafichua mitandao yote ya ujambazi na "vijana wake wa kazi" akawakamatisha kwa polisi.
Baadae jamaa akaokoka,akawa anasali sana...Nilisikiaga alianzisha sijui kanisa au vipi...lkn ni muhubiri na anapiga sana Injili.Hapo juzi alienda kwa Mrema kumpongeza kuwa Mwenyekiti wa Palore,anasema alikuwa "sugu" kwenye ujambazi,alikutana na mikwara ya ma-IGP na makamanda kibao na Mawaziri wenye dhamana ya wizara ya mambo ya ndani,ila Mrema alikuwa kiboko.Akaamua kusalimu amri
Milele Amina mtumishirelax Baba Parokoo, alimradi kilichomo ndani kinaeleweka, TUMSIFU YETU KRISTU BABA PAROKOO
Yaani siku hizi huchangii kabisa,umebakia kuitikia tu.Lini nilikua mkali
Oooh unanifatilia sanaYaani siku hizi huchangii kabisa,umebakia kuitikia tu.
Kumbe hupendi? basi nimjua mamii.Oooh unanifatilia sana