Majambazi nao huwa wanastaafu?

Majambazi nao huwa wanastaafu?

Heheheh mpenzi wangu wa moyo nakupenda sana nadhan unajua
Mamii najua hivyo,tatizo kuna watu humu jukwaani hawaishi uchonganishi,nilidhani tayari wameisha niwekea KAUZIBE,basi uabarikiwe na uzidi kunawiri.
 
Mamii najua hivyo,tatizo kuna watu humu jukwaani hawaishi uchonganishi,nilidhani tayari wameisha niwekea KAUZIBE,basi uabarikiwe na uzidi kunawiri.
Heheeh achana nao,tatizo unapenda mno wanawake kila mwanamke humu unamtaka haa
 
Heheeh achana nao,tatizo unapenda mno wanawake kila mwanamke humu unamtaka haa
Hapana sio hivyo,nilikwambia mimi nafuata sera za King Mswati wa Swaziland,yaani humu jukwaani nimeanzisha kitu inaitwa UMHLANGA,yaani tamasha la kumpata mwanamke mmoja tu,ndio nilikuwa katika upembuzi,na wewe ndio umekamilisha vigezo au vipi?,sasa hao wengine ni marafiki wazuri tu,na tunaendelea kirafiki sio zaidi ya hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom