Hasara
Senior Member
- Dec 29, 2006
- 138
- 9
Mwenye habari hizi aziweke hapa kuhusu majambazi Arusha wakenya waliyo pora Banki Moshi vitendea kazi vimetoka Lugalo Jeshini na kigogo wa jeshi anaye supply akamatwa ,kwa set-up ya jeshi la polisi na jeshi la wananchi JWTZ CTU Monduli kushiriana na majambazi hao kutaja mtandao wakiri mtandao nimkubwa ni wanchi tano Tanzania, Kenya, Somalia, Burundi, Uganda kumkamata kigogo huyo wa jeshi , kwa sababu majambazi aliwaambia polisi wao hawataweza kumkamata bila JWTZ. mwenye data hizi zenye uwakika aziweke hapa.