Majaliwa Kassim Majaliwa “Ceremonial Prime Minister“? Ofisi yake yazidi kupunguziwa majukumu

Hivi Mbowe yupo wapi?
Hatujasikia sauti yake baada ya drama za Lisu kushindikana, kisha kumuacha kwenye mataa.
Au nae ana mpango wa kuunga juhudi ili apumuzike kwa raha? Maana anaweza kupata ukuu wa mkoa sehemu.
Usifurahie matatizo ya mwenzako, ushajiuliza siku jamii forum ikipotea utatolea stress wapi za kuongea. Maana Ndio tunapoelekea uko
 
usifurahie matatizo ya mwenzako, ushajiuliza siku jamii forum ikipotea utatolea stress wapi za kuongea. Maana Ndio tunapoelekea uko
Kwani Mbowe ana matatizo?
Ndo tulitaka kujua mtujuze ni tatizo gani analo?
Tunataka kuona chama imara na chenye mlengo wa kuleta ushindani wa kweli na sio blablaa za akina Tundu Lissu.
 
Kayafa ameweka mamlaka zote mfukoni mwake wa shati
87659087.jpg
 
Unge orodhesha majukumu ya Mawaziri wakuu waliopita moja na la msingi ni kusimamia Mawaziri wote , haya mengine ni urembo tu.

Kwanza kuwasimamia mawaziri kikazi, kinidhamu na projects zilizo chini ya wizara husika ni kazi nyingi sana kwa Waziri Mkuu.

Sasa hili la investment centre ni katika kujaribu kuongeza Mapato ya serikali kwa kuleta uwekezaji mkubwa, na kutoa ajira kwa watu , na fedha hizo kwenda kwenye miradi ya maendeleo inayosimamiwa na PM, sasa kama hiyo ni shida utakuwa huitaki mema nchi bali fujo na mlo wako.
Mbona kaorodhesha hapa "Mara nyingi Waziri Mkuu amekuwa na majukumu ya Tawala Za Mikoa ; ambayo ina maana Wakuu wa Mikoa ; Wilaya na Wakurugenzi wanakuwa chini yake ; pamoja na kuwa msimamizi wa mawaziri na mkuu wa serikali bungeni" Au mwenzetu umesoma tu kichwa cha habari kisha ukakimbilia kumtetea jiwe kama ilivyo kawaida ya MATAGA na uvccm?
 
Ni Katiba hii hii ya 1977 Sokoine ali-deliver yet akina Msuya walikuwa kawaida sana.

Ni katiba hii hii, Rais JK watu walimchukulia poa na ikafikia wakati Urais ikaonekana kazi ambayo "kila mtu" anaweza.

Kwa wale ambao tumesoma shule za sekondari, kuna wakati tulikuwa na viranja wa "kawaida sana". Na kuna nyakati tulipata really leaders.
Wakati hatujawa na katiba mpya, tutampima PM yeyote on deliverables kwa majukumu anayopangiwa na CEO ambae kwa kuktadha wetu na Rais wa JMT.
Tumpongeza Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuaminiwa ku-serve his boss by serving the citizens
 
Cheo cha waziri mkuu kinatakiwa kifutwe
Abaki makamu wa Rais awe mkuu wa serikali bungeni
Katika nchi ambayo rais ni alfa na omega sio pm wala makamu wanaoweza kupewa nguvu ya eti kushare power na rais,kamwe haita kaa itokee,wote hao hawana cha kufanya au hawawezi kufanya maamuzi mpaka wakakuchongee kwa rais na kujikomba komba huko na bahati mbaya bongo hapa vyeo vinachukuliwa kwa ajili ya kulinda tumbo tuu
 
Asante sana ku-share experience ya namna PM akiingilia kati mambo yanaenda.

Ni PM huyu aliekaa na wanafanyabiashara wa kariakoo na wakaomba double checking ya ubora ya vyakula iangaliwe upya au ifanywe na ofisi moja kati ya TBS na TFDA.

Right away mapendekezo yake yakafanyiwa kazi na TBS ikabaki ku deal na ubora wa vyakula huku TFDA akaondokana na jukumu la chakula wakabaki na madawa na vifaa tiba na officially wakawa TMDA.

Majaliwa he is far better in delivery kumzidi Sumaye, EL, Pinda, Malecela, Kawawa, Warioba na Msuya.

Ni Salim A. Salim na Sokoine ndio wanaweza kuwa walikuwa tough nyakati za mwl.

Tatizo jingine kuna watu hata hawajua era ya mzee Mwinyi waziri mkuu alikuwa na kofia ya Umakamu wa Kwanza wa Rais na kwa kutokuwepo nyakati hizo na kushindwa kujua vema katiba yetu inasemaje juu ya majukumu ya PM; kuna watu wanabeza bila kuwa grounds za yale wanayochangia.
Yaani hako katitu kamoja tu ndio sifa za miaka 5? Acha utopolo mbona Pinda aliwahi mpiga stop Magu kuendesha boma bomoa na wakati wa mgomo wa madereva? hao wote ni dhaifu tuu.
 
Asante sana ku-share experience ya namna PM akiingilia kati mambo yanaenda.

Ni PM huyu aliekaa na wanafanyabiashara wa kariakoo na wakaomba double checking ya ubora ya vyakula iangaliwe upya au ifanywe na ofisi moja kati ya TBS na TFDA.

Right away mapendekezo yake yakafanyiwa kazi na TBS ikabaki ku deal na ubora wa vyakula huku TFDA akaondokana na jukumu la chakula wakabaki na madawa na vifaa tiba na officially wakawa TMDA.

Majaliwa he is far better in delivery kumzidi Sumaye, EL, Pinda, Malecela, Kawawa, Warioba na Msuya.

Ni Salim A. Salim na Sokoine ndio wanaweza kuwa walikuwa tough nyakati za mwl.

Tatizo jingine kuna watu hata hawajua era ya mzee Mwinyi waziri mkuu alikuwa na kofia ya Umakamu wa Kwanza wa Rais na kwa kutokuwepo nyakati hizo na kushindwa kujua vema katiba yetu inasemaje juu ya majukumu ya PM; kuna watu wanabeza bila kuwa grounds za yale wanayochangia.
TFA na TMDA zote zinafanya kazi.
 
Magufuli kawaweza CCM kawaindolea wote especially wabunge Ujasiri mbele yake hata wale waliokuwa wanakubalika

LENGO LA MAGUFULI KUHAKIKISHA WABUNGE WOTE WANAPITA NA KURA ZA WIZI LIMEWAFANYA HATA WALE WALIOKUWA NA UHAKIKA WA KUSHINDA KUKOSA UHALALI MBELE YA WANANCHI NA KUONEKANA WAMESHINDA KWA FADHILA YA RAIS


KAULI KAMA HIIZI NI KIELEEZO

“ ... sisi wote tuko hapa ; tumshukuru
muheshimiwa Rais ... bila yeye hatungekuwa hapa ...”
job ndugai
bungeni Hotuba ya rais

“ Bila mimi wewe Lukuvi na wengine hamngekuwa hapa ....”

“ mligombea Ubunge na sio Urais ..."

"mara hii nina wabunge wote..."

"waziri mkuuu hakuna uhakika kama utakaaa miaka mitano '..."

na kauli nyingine nyingi tu za dharau anapata ngvu kutoa kipindi hiki kwakua kawafanya wote waone bila yeye hawangepata ubunge

Kauli kama kuhakikishia baadhi kuwa hawawezi kuwa marais inaweEkana tu kwenye nchi ambayo ana uhakika hakuna demikraisia ya ndani na nje ya chama

Unaweza mfano kumkebehi kabudi au lukuvi hatakuwa rais lakini wanachama wakamtaka au akagombea na chama kingine wananchi wakampa

Kimsingi hatuna bunge ; bunge ambalo hadi wanakosea na kusema "muheshimiwa Mungu ..." ina maana akili na moyo ziko huko .
 
Awamu ya Mwinyi nani alikuwa makamu wa rais?
Nisaidie kidogo
Rais Ali Hassan Mwinyi
Makamu wa Kwanza na Waziri Mkuu Wa Rais Joseph Sinde Warioba
Makamu wa Pili Wa Rais na Rais Wa Zanzibar Idris Abdul Wakil

Second Term
Rais Ali HASSAN mwinyi
Makamu Wa Kwanza Wa Rais na Waziri Mkuu JOHN CYGEYAMIS MALECELA
Waziri Mkuu Cleopa David Msuya
Makamu wa Pili Wa Rais Na Rais Wa Zanzibar Salmin Amour
 
Katika historia ya nchi hii haijawahi kutokea Waziri Mkuu aliyeporwa mamlaka yake kama Majaliwa

Kiukweli inasikitisha na pengine inaashiria kuwa na bosi asiyeamini uongozi wa pamoja

Mara nyingi Waziri Mkuu amekuwa na majukumu ya Tawala Za Mikoa ambayo ina maana Wakuu wa Mikoa; Wilaya na Wakurugenzi wanakuwa chini yake pamoja na kuwa msimamizi wa mawaziri na mkuu wa serikali bungeni.

Kwa mwendo tulikua nao Waziri Mkuu angalau alibakia na nguvu kwakuwa ofisi ya Uwekezaji ambayo nayo sasa imepelekwa ofisi ya Rais

Tunasubiri sasa kuona atapewa nini lakini hii ina maana kuwa Majukumu ya Ofisi ya Rais yameongezeka lakini zaidi kutakuwa na mawaziri mfano wa Serikali za Mitaa atakuwa na nguvu kuliko PM

Tumtakie Rais uundaji mwema wa baraza lake!!

Alamsiki!
Mkuu TAMISEMI pia ilihamishiwa ofisi ya Rais.
 
Mkuu TAMISEMI pia ilihamishiwa ofisi ya Rais.
MAWAZIRI WAKUU WALIOTANGULIA WALIKUWA NA TAMISEMI .....SECOND TERM YA MKAPA NDIO ALIHAMISHIA OFISINI KWAKE AKAMPA RAFIKI YAKE BRIGEDIA JENERALI NGWILIZI ....LAKINI ALIMUACHA SUMAYE NA BAADHI YA WIZARA .
KIMSINGI WAZIRI MKUU AKIWA NA TAMISEMI ANAKUWA VERY POWERFUL MFANO KIKWETE ALIWAACHA NA TAMISEMI NDIO MAANA WALIKUWA WANAONEKANA SANA LOWASSA NA PINDA ....UKIACHIWA TAMISEMI UNAWEZA HADI KUINFLUENCE WAKUU WA MIKOA ,WILAYA , DAS,DED etc ......Huo ndio mgawanyo wa madaraka unaoleta afya kwenye nchi ...na kumuacha rais kushughulika na mambo makubwa ya kimikakati ...tunakoelekea hizo separation ziwekwe kikatiba ..ukiacha tu unaweza kukuta rais akaweka wizara zote ofisini kwake na kuwacha makamu na waziri mkuu kama majina tu
 
Rais Ali Hassan Mwinyi
Makamu wa Kwanza na Waziri Mkuu Wa Rais Joseph Sinde Warioba
Makamu wa Pili Wa Rais na Rais Wa Zanzibar Idris Abdul Wakil

Second Term
Rais Ali HASSAN mwinyi
Makamu Wa Kwanza Wa Rais na Waziri Mkuu JOHN CYGEYAMIS MALECELA
Waziri Mkuu Cleopa David Msuya
Makamu wa Pili Wa Rais Na Rais Wa Zanzibar Salmin Amour
Ahsante
 
Back
Top Bottom