Majaliwa Kassim Majaliwa “Ceremonial Prime Minister“? Ofisi yake yazidi kupunguziwa majukumu

Unge orodhesha majukumu ya Mawaziri wakuu waliopita moja na la msingi ni kusimamia Mawaziri wote , haya mengine ni urembo tu.

Kwanza kuwasimamia mawaziri kikazi, kinidhamu na projects zilizo chini ya wizara husika ni kazi nyingi sana kwa Waziri Mkuu.

Sasa hili la investment centre ni katika kujaribu kuongeza Mapato ya serikali kwa kuleta uwekezaji mkubwa, na kutoa ajira kwa watu , na fedha hizo kwenda kwenye miradi ya maendeleo inayosimamiwa na PM, sasa kama hiyo ni shida utakuwa huitaki mema nchi bali fujo na mlo wako.
Kwahiyo ni heri rais ajiongezee majukumu ili kumpunguzia mzigo waziri Mkuu ?
 
Sokoine Alienda kwenye Matibabu pamoja na masomo Hungary
Aliporudi tu akarudishiwa u PM
sokoine ni kati ya mawaziri wakuuu waliokua na nguvu ; pengine na Kawawa
Alikuwa na nguvu gani wakati hata ofisi yake haikuwepo kwa mujibu wa sheria ?

Ameacha legacy gani zaidi ya kupora Mali za watu kwa mgongo wa kupambana na uhujumu uchumi wa kusadikika ?
 
Wala hakuna waziri yeyote kwenye awamu iliyopita ama hii inayokuja anayeweza kufanya kwa kadri ya ubunifu wake , wizara zote ziko chini ya mtu mmoja , Kuondolewa kwa Nape na kuhamishwa kwa Mahiga kwenye wizara ya Mambo ya nje ni ushahidi wa wazi kabisa .
Kheri Nape aliondolewa kwenye wizara ya habari, huyo ndiye aliyefunga bunge, akapeleka sheria kandamizi bungeni
 
Nafurahi kuona wapinzani wakiwa wanaitambua serikali yao ya awamu ya 5

Nafurahi zaidi kuona wameona sasa hivi Rais anafaa sana baada ya kumtuhumu hafai kwa miaka5 iliyopita, japo sasa wanalalamika kwamba amemteua waziri mkuu asiyefaa

Nina imani hata huyo waziri mkuu ambae wanaona hafai siku sio nyingi watamwona anafaa sana

Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji, Kassim Majaliwa Kassim chapa kazi..... aliyekupa majukumu anakuelewa na sisi watanzania tunakuelewa sana
Mpinzani yupi anaitambua serikali hii haramu!?
 
Hivi Mbowe yupo wapi?
Hatujasikia sauti yake baada ya drama za Lisu kushindikana, kisha kumuacha kwenye mataa.
Au nae ana mpango wa kuunga juhudi ili apumuzike kwa raha? Maana anaweza kupata ukuu wa mkoa sehemu.
Mbowe alimwomba Lissu akishapata makazi amkaribishe ughaibuni Sasa Amsterdam kakataa hawezi kubeba viongozi wote wa saccos.
 
Sasa kwanini nchi zenye ceremonial presidents kama Germany, Italy etc. na Waziri wakuu wenye mamlaka hawajafuta vyeo vya marais ceremonial kama hawana kazi? Kila nafasi ina umuhimu wake kwenye muundo wa serikali
 
Kwahiyo tubadili kutoka Rais mwenye mamlaka na Waziri Mkuu ceremonial kwenda Rais ceremonial na Waziri Mkuu mwenye mamlaka? Faida yake nini sasa?
 
Umepewa lift halafu unataka, mpaka upige honi? Maana hakuna Mbunge aliyepita kwa nguvu zake zaidi ya kuiba kura
Hapo tu mnakwama wazee wa kazi. Wizi wizi wizi kwa nini iwe kwa wabunge na Rais tu? Madiwani ambao kimsingi ndio wako mashinani mbona wame concede?. Hizo false assumptions za kuibiwa kura huwa zinawachelewesha kujenga taasisi zenye nguvu mapema. Huwa nashauri mpige chini uongozi wa saccos yenu na taswira ya kanda pendwa hapo watanzania watawaelewa. Badilisheni uongozi vinginevyo mtaumiza mioyo yenu sana
 
Back
Top Bottom