Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

Mkiwa Zanzibar mnatunisha misuli balaa. Mkiingia Kigamboni na Msasani mnajiita watanzania na hamtaki mguswe. Mkiwa Kariakoo ni watanzania kama watanzania wengine.
Waafrika tuna matatizo mno
 
Ismail Jussa agiza basi hiyo sukari uone kama PM wa Tanzania hana mamlaka ama la!
 
Mkiwa Zanzibar mnatunisha misuli balaa. Mkiingia Kigamboni na Msasani mnajiita watanzania na hamtaki mguswe. Mkiwa Kariakoo ni watanzania kama watanzania wengine.
Waafrika tuna matatizo mno
Hao wasukuma na wanyamwezi wenzetu waliolewea zanzibar wana shida sana.
 
Hizo ulizozitaja ni nchi je Zanzibar ni nchi?
Iko siku tutavichimbua chimbua endeleeni kupiga mdomo
 
Hizo ulizozitaja ni nchi je Zanzibar ni nchi?
Iko siku tutavichimbua chimbua endeleeni kupiga mdomo
Nje ya muungano (pamoja na mambo yasiyo ya muungano) Zanzibar ni nchi si ndio mnavyosema?! Sijasema mimi.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Hizo ulizozitaja ni nchi je Zanzibar ni nchi?
Iko siku tutavichimbua chimbua endeleeni kupiga mdomo
Then acha kujidanganya, utavichimbua, wewe na nani? Kachimbue mifereji ya maji machafu kijijini kwenu kwanza![emoji848][emoji848][emoji848]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Waligomewa kuileta bara kwasababu bara sio sehemu ya Zanzibar?
Kama hii ni nchi moja kwanini bidhaa inayotengenezwa upande mmoja inakatazwa kuuzwa kwenye upande mwingine?
Sasa kama bara ilikataa hiyo Sukari basi ata wafanyabiashara wapo huru kulipa kodi na kuagiza sukari kutoka nchi nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Biashara ya ndani ni jambo la Muungano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ibara hii usisahau kuisoma kwa umakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…