certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,403
- 809
Hii strategY ndo naielewa sasa kuchagua mtu kutoka kwenYe ukuu wa wilaYa kuwa wazir mkuu wako .................
Ha ha ha! 90% tuki-assume lile container la mchanga lina uzito wa tani 50 maana yake 0.90 x 50 = 45 tons dhahabu. Kwa maana nyinge; zile containers 220 zilizozuiliwa pale bandarini zina dhahabu kiasi cha tani 45 x 220 = 9,900 = 9,900,000kg.90% labda awedanganye vipofu wenzake
hao wabunge wako wenyewe wana hiyo elimu ya kuelewa hiyo mikataba?!!Waziri mkuu aache maneno, anapaswa kupeleka mikataba yote ya Madini bungeni, wabunge waipitie, sheria zirekebishwe ili kazi ifanyike.
Hivi blah blah za ziara za Kick amwachie Ngosha maana ndio anaziwezea na zinamfaa sana.
sio kila siku sinema ni vile tu kila mtu kawa mfuatiliaji wa mambo, watu wangekuwa hawafuatilii usingesikia loloteNchi hii kila siku ni senema mpya. Jana report ya faru John, leo sampuli za mchanga. Ameshakuwa mtu wa kukusanya samples sasa!!!!
Huezi pata 90% ya madin kwenye mchanga maisha yako yote,Katibu mkuu alisema mchanga una madini 0.02% , mkurugenzi mkuu bandari anasema mchanga una madini 90% , hapa nani mtaalam? Lkn akili ndogo tu inasema madini 90% kuyaona isingehitaji maabara ya mkemia mkuu wa Serikali.
Hiyo ni maabara binafsi, ni uamuzi wa mtu apeleke hapo ama lah.Mtaalamu wa sampuli alikuwepo, aliyekuwa anachukua sample.Swali la kujiuliza hapo.
Je amekwenda na wataalam wa madin wanaojua sampling technic??
Kama atakua hajafanya ivo atapewa feki sample!
Pia tuna kitengo cha madini pale kunduchi beach (AMGC), kwann sample ipelekwe nje??
HIZO NI BLAH BLAH....... UKWELI NI KWAMBA SERIKALI IMEINGIA CHA KIKE...kafanya kitu kizuri, Wakati Huu wa BAN ndio wakati mzuri wa kutafuta majibu ya maswali yote na kuangalia kama kuna vitu vya kurekebisha ili kuwe win win situation
NGOSHA ALILIANZISHA SUALA LA MCHANGA ILI KUWATOA WANANCHI KTK KUJADILI SOO LA BASHITE.... HAWAKUPIMA MATOKEO YAKE YATAKUWA NINI...Waziri mkuu aache maneno, anapaswa kupeleka mikataba yote ya Madini bungeni, wabunge waipitie, sheria zirekebishwe ili kazi ifanyike.
Hivi blah blah za ziara za Kick amwachie Ngosha maana ndio anaziwezea na zinamfaa sana.
VERY SIMPLE AND ACCURATE CALCULATIONS.................... GOOD REASONING MKUU DUDUS..Ha ha ha! 90% tuki-assume lile container la mchanga lina uzito wa tani 50 maana yake 0.90 x 50 = 45 tons dhahabu. Kwa maana nyinge; zile containers 220 zilizozuiliwa pale bandarini zina dhahabu kiasi cha tani 45 x 220 = 9,900 = 9,900,000kg.
Leo bei ya dhahabu huko soko la dunia kwa mujibu wa mtandao huu (Gold Prices Today | Price of Gold Per Ounce | Gold Spot Price Chart) kwa kilo ni USD40,513.13. Hii maana yake, makontena yanayozuiliwa bandarini yana dhahabu yenye thamani ya 9,900,000 x 40,513.13 = USD 401,079,987,000 (au TZS 872,348,971,725,000; Trilion 872.35; sawa na bajeti ya Serikali ya miaka 30 kwa ulinganifu wa bajeti ya 2016/2017.
Ha ha ha! Eng. Kakoko acha kutufanya watanzania wote machizi! Hicho kitu hakipo duniani.
Tatzo mtukufu wetu anapenda story kama hizo.Ha ha ha! 90% tuki-assume lile container la mchanga lina uzito wa tani 50 maana yake 0.90 x 50 = 45 tons dhahabu. Kwa maana nyinge; zile containers 220 zilizozuiliwa pale bandarini zina dhahabu kiasi cha tani 45 x 220 = 9,900 = 9,900,000kg.
Leo bei ya dhahabu huko soko la dunia kwa mujibu wa mtandao huu (Gold Prices Today | Price of Gold Per Ounce | Gold Spot Price Chart) kwa kilo ni USD40,513.13. Hii maana yake, makontena yanayozuiliwa bandarini yana dhahabu yenye thamani ya 9,900,000 x 40,513.13 = USD 401,079,987,000 (au TZS 872,348,971,725,000; Trilion 872.35; sawa na bajeti ya Serikali ya miaka 30 kwa ulinganifu wa bajeti ya 2016/2017.
Ha ha ha! Eng. Kakoko acha kutufanya watanzania wote machizi! Hicho kitu hakipo duniani.
Mkuu, nadhani hujaelewa ishu ilivyo... Hebu fuatilia kwa umakini kwa nini mchanga husafirishwa.Swali la kujiuliza hapo.
Je amekwenda na wataalam wa madin wanaojua sampling technic??
Kama atakua hajafanya ivo atapewa feki sample!
Pia tuna kitengo cha madini pale kunduchi beach (AMGC), kwann sample ipelekwe nje??