Majadiliano ya kamati iliyoundwa na Rais kuhusu biashara ya madini na migodi yameanza leo 31/7/2017

Wewe uliingiaje kujibu swali la Mshamba? Au wewe ndiye mshamba zaidi yangu? Au nani alikukataza kuogelea hizo $190b bila ya kujibu swali langu?
Hapa nakufundisha uachane na umbumbumbu, tukikaa kimya unaweza kuwapotosha sana watu. Hujui chochote halafu unajifanya mjuaji. Ni ushamba huo. Wewe kazi yako ni kupiga domo tu. Nikiwepo mimi hakika huwezi kuleta upuuzi wako huu.
 
Hao whites ni watu wa fitna balaa. Hiyo team si mchezo. Tz wanatakiwa kupanga team vzr.

Hapo ndipo umuhimu wa wana interigensia ya uchumi wanahitajika. Dukua mawasiliano yao, cheza na vichwa vyao mpk tupate kile tulichoibiwa.

Wakiingia watu wa low minds tutaambulia vumbi...

Cc Yericko Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAVICHA bwana wanaamn wao ndo wanajua kila kitu na nini serikal ifanye.Serikali inawasomi kila idara,sasa kujifanya nyie ndo vichwa sana ni uzwazwa.

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
BAVICHA bwana wanaamn wao ndo wanajua kila kitu na nini serikal ifanye.Serikali inawasomi kila idara,sasa kujifanya nyie ndo vichwa sana ni uzwazwa.

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Hao wasomi walikua wapi mpaka mikataba ya kijinga inasainiwa??
 
Back
Top Bottom