Majadiliano ya kamati iliyoundwa na Rais kuhusu biashara ya madini na migodi yameanza leo 31/7/2017

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Serikali leo imeanza mazungumzo na wawakilishi wa Barrick Gold Corporation kuhusu biashara ya madini wanayochimba hapa nchini.

Timu hiyo inaongozwa Prof. Kabudi huku ile ya Barrick Gold Corporation ikiongozwa na Afisa Mwendeshaji Mkuu, Richard Williams.

acasia.jpeg


KKABUD.jpg
kbd.jpg


Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kufanya mazungumzo na uongozi wa Barrick Gold Corporation juu ya biashara ya madini yanayochimbwa na migodi ya kampuni hiyo hapa nchini Jijini Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom