Maiti tisa za mauaji yaliyofanywa na polisi leo Mbeya ziko mochwari

Hali bado ni tete hivi sasa magari yanapita barabarani kutangaza hali ya hatari na wanawaomba wananchi waingie majumbani mwao.

mbona kwenye tv wametuambia zimeisha au ni uongo? Nambie bana ili niongeze ka castle kengine sasa hivi
 
Watu tisa waliouawa leo wako kwenye mochwari ya Rufaa.
Polisi mpaka muda huu wamekaa kimya wakati ni wao waliowaua kwa risasi. Nimezipiga maiti hizo picha kwa camera ya simu ndo maana sijaziatach, kesho zitakuwa hewani
Mkuu kama utapata shida kuattach pls niPM nikuelekeze ili tuzilipue maana nategemea uongo hapo kupitia jeshi la polisi juu ya idadi ya waliokufa ili kuficha ukweli.
 
Habari hii itakuwa imewashitua sana viongozi w serikli waliopo humu JF,
 
Mkuu umemsoma LOSAMBO! MP , mzipandishe hizo picha ..mtakuwa mmetenda haki kwa wafiwa.

Mkuu kama utapata shida kuattach pls niPM nikuelekeze ili tuzilipue maana nategemea uongo hapo kupitia jeshi la polisi juu ya idadi ya waliokufa ili kuficha ukweli.

Losambo tunakutegemea!!
 
Wananchi hawajafanya chochote wao kulipiza? Ctanii naumia moyo na ninaiapia serikali hii mabaya! Yani cjui nende mbeya kwa mguu?
 
Watu tisa waliouawa leo wako kwenye mochwari ya Rufaa.
Polisi mpaka muda huu wamekaa kimya wakati ni wao waliowaua kwa risasi. Nimezipiga maiti hizo picha kwa camera ya simu ndo maana sijaziatach, kesho zitakuwa hewani

kama simu inayo e mail ,attach kwenye e mail halafu tuma kwa ,mtu ambaye anayo access to computer naye anaweza kuzipost JF.
 
Habari hii itakuwa imewashitua sana viongozi w serikli waliopo humu JF,

Mkuu kwanini ufikiri wameshituka!!?

Yale ya Arusha, Tarime , Babati , Chuo Kikuu nk ..Yangewashitua na wala sio kuwashitua tu! Wangeyafanyia KAZI!!

Mkuu wewe umepenya hadi muachuari, umeona ulichokiona kitakuwa sehemu ya historia ya maisha yako, sikiza ..DOLA yoyote inayoona Maiti ni kitu cha kawaida ..yaani KIFO kwao ni jambo la mzaha mzaha ... Haimuogopi MUngu! UUNGU ...hauna mzaha na jambo lololte linalopelekea kifo! Kama sasa Watanznaia kifo kimekuwa kitu cha kawaid a..kama punda ua paka aliye gongwa na gari njiani ...UUNGU WA MWANADAMU amabao NI UTU wa Mtanzania uko hatarani. NI viongozi wote waliopo madarakani ..kama wamewekwa kusimsmis ..Ujenzi wa UFU na kwenye jamii yetu ..wajue wamefika mbali sana!

Mwito ni kuwa SIO VIOGOZI wote wamefikia hapo! Wale wenye Utu na Ubinadamu wa jamii ya Kitanzania wajitokeze na kupinga Haya Hadharani!! Nini kinawazuia??
 
Hali ya mbeya ni mbaya kuna maiti zaidi ya 8 nimeziona kwa macho yangu hospital ya rufaa mbeya iliyopo soko matola opposite na police central,hivi CCM Wanatupeleka wapi,If this is not my country Icould leave this country,but I have to fight up to the end to archieve victory.Freedom is coming.
 
Polisi wa bongo wana shida mpaka kwenye masaburi wanaishi kwenye mabanda ya kuku ya mabati then wanaua watz Wenzao bila hatia we ngoja tu but kila jambo na mwisho wake nasi wananchi tutakuwa tunawashugulikia kitaa
 
Hali ya mbeya ni mbaya kuna maiti zaidi ya 8 nimeziona kwa macho yangu hospital ya rufaa mbeya iliyopo soko matola opposite na police central,hivi CCM Wanatupeleka wapi,If this is not my country Icould leave this country,but I have to fight up to the end to archieve victory.Freedom is coming.

... Badala ya kusifiana Uzima na kuongeza Umri wa Mtanzania kuishi MAFANIKIO YETU YA MIKA 50 ndio haya! Tunasifiana tumeua wangapi ...(wamekuwa njwa) ...Tunasifiana tumepunguz aumri wa kusihi na kuuufanya mika 12... Nini Hii!!! Huku wahusika hawajali ..leo ijumaa wako wanakunywa mvinyo na muziki mlaini ..vijiweni!!
 
kama thelathini mkuu ndo najisikia poa
huyu jamaa angekulenga kwenye david cameroon ingekuwa sawa tu!!
DSC00466.JPG
 
Wafanye fujo wao, wavunje mali za watu wao, wakiambiwa tulieni warushe mawe waumize watu wakidhibitiwa "oohh ccm" nyie vipi nyie? wale walikuwa na sababu ipi ya kuandamana na kufanya fujo? kama si kuwa na nia ya kudhuru watu na kuharibu mali za watu?
 
Back
Top Bottom