Mufiyakicheko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 892
- 86
Wafanye fujo wao, wavunje mali za watu wao, wakiambiwa tulieni warushe mawe waumize watu wakidhibitiwa "oohh ccm" nyie vipi nyie? wale walikuwa na sababu ipi ya kuandamana na kufanya fujo? kama si kuwa na nia ya kudhuru watu na kuharibu mali za watu?
sijuwi kama mwamvuli utakusaidiya chunguliya juu kumechafuka