Maisha yangu

Maisha yangu

Hongkong

Member
Joined
Dec 27, 2022
Posts
54
Reaction score
152
Habari

Leo nimeamua kuandika uzi baada ya kuvumilia na kuchoka haya maisha

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nipo Dar es salaam nahishi na uncle na aunt kiukweli nawapenda sana hila shida ni kwamba tangu nimalize chuo hapa nyumbani nimekuwa nafokewa hata na watoto wadogo yaani naona kama hawanitaki mimi kukaa hapa hila uncle wangu hana baya

Imefikia hatua mimi nikikosea kidogo naitwa mbele ya watoto nachambwaa nachambwa mpaka nikitoka hapo sina nguvu kabisa

Kuna siku nikuwa nimekaa njee akaja aunt nakupa muda wa miezi mitatu hapa uwe umeeondoka ukapange huko hapa sitaki ndugu hilihali yeye ana ndugu yake yupo hapa tunakaa naye

Niliumia kiukweli siku mjibu nikasema sawa hila sasa sina kazi uncle wangu yeye anawatafutia watoto wake kazi mimi nabaki hapa hapa nikitoka kesi na mimi mzazi mmoja kashafariki huyu mmoja hajiwezi

Nin naomba kwenu hapa kama kuna mtu anapagala lake halina mlizi mimi nipo tayali nitakaa hapo haya maisha nimechoka nataka kupambana mwenyewe hili nije nimsaidie mjane ambaye leo kesho anaomba nitoke kwenye hili dimbwi
 
Back
Top Bottom