Maisha Yangu yanathamani kuliko kitu chochote. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha Yangu yanathamani kuliko kitu chochote.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by PakiJinja, Mar 12, 2012.

 1. PakiJinja

  PakiJinja JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 834
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Kauli hii ni ya kawaida sana, lakini inapotolewa na kiongozi aliyeaminiwa na kukabidhiwa majukumu ya kitaifa, huwa inasikitisha, kushangaza na kusababisha watu wataharuki.
  Adam Malima inabidi ajiulize kama anastahili kuendelea kubeba majukumu aliyonayo.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Maisha yake ni yepi?
   
 3. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ]Maisha yake ni yepi?


  Ni yale aliyotuonyesha kwenye TV, alipoibiwa kila kitu kupitia Dirishani akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni na Kamera wala walinzi wasiweze kumwona mwizi

  Mbaya zaidi ni nyumba ambayo mtu wa kawaida hawezi kufikia hapo maana ni ya gharama ya juu

  ??????????????????????????????

  Haieleweki viongozi wetu wanatupeleka wapi
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yangekuwa na thamani asingeopoa changu afu akalizwa, au thamani imekuja baada ya kuibiwa na changudoa?
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Aibu zake, yeye mwenyewe kuanzia mwili,macho,na pua yake havina thamani sembuse maisha?akafe mbele huko na umeme ushakatika hapa.chaaa,
   
 6. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, kiongozi wa serikali anatembea na SMG. Ukimuuliza anakwambia eti ni "Self defence"
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,092
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  maisha ya kulala na makahaba au yepi,
  ya kula hela za walipa kodi wake na makahaba au yepi,
  ya kulala hoteli ya laki nne kwa usiku mmoja wakati
  watanzania wengi ni maskini hata mlo wa siku hawajui pa kuupata au maisha yepi.
   
Loading...