Maisha yangu yamekwisha?

Maisha yangu yamekwisha?

Meza haloperidol haraka sana hilo tatizo ndani ya mwezi m1 litaisha na utarudisha mood yako una psychotic disorders bila kujijua so unaitaji antipsychotics au nenda hospital kitengo cha psychiatry watakusaidia
Hazina side effect zisije kuwa addictive
 
Mbona hata mimi nina tatizo kama lako, japo sifanyi kama wewe, huwa inatokea tu. Ila mimi ninapopatwa na hali kama hio huwa napenda kuangalia sana movie.., nikishakaa sawa najikuta intrest zangu zinarudi, hasa huwa napendelea kufanya ujenzi wa nyumba za kupangisha ili zinifae uzeeni kila nikijisi kuboreka na maisha, huwa nafanya ujenzi kujikeep busy. Hapo awali nilikuwa nikipatwa na hiyo hali nilikuwa nafanya makosa ya kunywa sana pombe na kubeba wanawake kwenye mastarehe, mwishowe niliona nitapotea, maana niliona kabisa familia yangu itasambaratika,hivyo nikajiwahi.
 
Hali hii inatokana na kutunza vitu vingi kwa muda mrefu, maumivu, mateso, changamoto yni vitu vyote unavitunza kimya kimya bila kumwambia mtu mbaya sana hii tafuta watu wa cancelling utakua sawa
 
Nahisi utakuwa na ugonjwa Wa " depression "... Ni ugonjwa Wa akili lakini si kwa kuokota makopo. Unakuwa MTU ambaye huna motivation wala furaha ya kufanya chochote. Kifupi unakuwa huoni sababu ya kuishi wala kuhangaikia maisha.
Cha kufanya; kawaone madaktari bingwa Wa magonjwa ya akili, utapewa tiba na taratibu mambo yako yatarudi katika mstari.
Ila purpose ya kuishi ni vyema wote kukawa nayo na tukaifahamu. Unajua evolution imetu-mold kuwa watu wakulenga kitu kimoja tu hapa duniani, 'Survive' and 'propagate', yaani hakikisha 'hufi' na hakikisha 'unaendeleza uhai(kuzaa/kuzalisha)'; sasa binadamu ni intelligent kulinganisha na viumbe vingine, ile robotic nature haipo kwa binadamu, ndio maana anaweza kupata depression pale anapoona uwezo wake wa kusurvive/kupropagate unakuwa undermined.
 
Pole Sanaa mkuu hilo tatizo linatukumba wengi lakini tofauti kidogo nawewe ambaye ulikua na maisha yako mazuri tuu..

Ila sisi tusio na ajira yoyote na vyanzao vya MAPATO vya uhakika tuna hali mbaya hujui utaowa lini ama utakua na family stable mwaka gani...

Wataalam tusaidiane haya mambo
Watu walisemaga humu, kwa hii spidi ya JPM watu wataongea wenyewe mabarabarani, ndio haya sasa..
 
Sipendi marafiki,
Sidumu kwenye mahusiano,
Sitaki kuoa,
Sitaki kuishi na mtu,
Sipendi kusaidia,
Sipendi kusaidiwa,
Sipendi kazi yang,
Ni mkali kuliko kawaida,
Sipendi kelele,
Sipend malumbano na ushindani,
Napenda visasi na lawama,
Sipendi kuuliza (mfano naenda sehem naweza nisiulize mpaka gari ikanipitisha)
Sipendi kuulizwa (naweza kuulizwa kitu najua ila nikasema sifaham)
Kisirani moto
Nongwaa
Nakasirika ovyo

Ni mengi yananizonga nilizani ni peke yangu kumbe tupo wengi
Madhara ya kuangalia porn kwa muda mrefu
 
Depression mara nyingi inasababishwa na life changing events kama kifo kwenye familia, kukosa kazi, ajali, n.k. Mara nyingine inasababishwa na hormonal imbalance - upungufu ya feel-good hormones yaani seratonin na uongezeko wa stress-hormones yaani cholostin ambayo yaana katisha furaha na mwelekeo. Haijulikani nini inasababisha hormones kupunguwa au kuzidi? Mkuu, mimi sio mtaalumu wa ugonjwa huu, lakini nakushauri uanze kutafuta na kujisikia vizuri na raha ndogo, ndogo za hapa na pale. Hii itazidisha zile feel-good hormones. Aanza kwa kumjali huyu mke wako wa sasa, ambaye anajituma sana kwa ajili yako. Read, listen and watch things zinazokufurahisha! Fanya mazoezi na weka mazingira yako safi. Kula lishe bora kwa muda maalum pamoja na familia. Pole pole utaanza kujisikia vizuri huku feel-good hormones ziki ongezeka. Usikae peke yako na mawazo mabaya, hii inaongeza feel-bad hormones and pull you furthn into depression. Weka tabia ya kuandika dairies, hii inasaidi kupanga na kuelewa mawazo yako. Kumbuka, its a slow and long road to recovery, so usikate tamaa mapema.
Hivyo vidonge vya Serotonin vinapatikana wapi?
 
1. Kuwa Positive, Usisikilize kitu ambacho ni Negative kwa Nchi yako wala kwa Familia yako na hata kwenye Biashara zako.

2. Ipe nafsi yako thamani inayostahili, Fanya kazi kwa bidii familia iwe ya kwanza katika kila mahamuzi utakayo chukua.

3. Samehe na sahau kwa wote walio kukosea na pia fikiria zaidi kuwa wewe ni nguzo kwa kizazi chako.

4. Sikiliza Music TBC International na Sikiliza TBC taifa kuna Sera za kukujenga na kukupa moyo na kubwa zaidi kujua Taratibu na Sheria za Nchi yako.

5 . Kila jambo unalofikiria kabla ya kufanya jipe nafasi na kisha Sema Mungu ni mkubwa kabla na baada.N.B nimeweka Mungu mwisho kwa sababu Mungu yupo ndani yako na yeye ndio alisimia zoezi mpaka unazaliwa kati ya Mamilioni.
Umeharibu kuliweka liTBC hapo tu
 
Mtafute Chri Mauki ndio fani yake hiyo. Mimi mwenyewe ni mwanasaikolojia lakini siyo.mbobevu sana tatizo lako linataka muda pia na ufuatiliaji wa karibu
 
Sipendi marafiki,
Sidumu kwenye mahusiano,
Sitaki kuoa,
Sitaki kuishi na mtu,
Sipendi kusaidia,
Sipendi kusaidiwa,
Sipendi kazi yang,
Ni mkali kuliko kawaida,
Sipendi kelele,
Sipend malumbano na ushindani,
Napenda visasi na lawama,
Sipendi kuuliza (mfano naenda sehem naweza nisiulize mpaka gari ikanipitisha)
Sipendi kuulizwa (naweza kuulizwa kitu najua ila nikasema sifaham)
Kisirani moto
Nongwaa
Nakasirika ovyo

Ni mengi yananizonga nilizani ni peke yangu kumbe tupo wengi
Jpm tuonee huruma aisee unafanya nchi nzima iwe kama mazombie.HEBU JARIBU KUWA NA HURUMA NA RAIA UNAOWAONGOZA AISEE.
 
Hivyo vidonge vya Serotonin vinapatikana wapi?

Mkuu, zipo lakini sijui kama zinauzwa Pharmacy. Pengine zinahitaji prescription. Lakini mimi binafsi naona tabia ya kumeza vidonge sio nzuri. Matunda kama avacado, ndizi n.k. zinasaidia sana kuongeza serotonin. Halafu mazoezi pia yanafanya mwili ichangamke na ujisikie vizuri.
 
Brother TBC ina umuhimu mkubwa sana katika Maisha yako na hii ni kwa Mtanzania yoyote.

Ndio maana slogan yao ni UKWELI NA UWAKIKA na nakuhaidi ukisikiliza TBC hutakuwa na Msongo wa Mawazo, kuna fulsa, sheria na Taratibu kiupi Elimu ya Taifa lako inapatika TBC pekee kwa Ukweli na Uwakika.
Umeharibu kuliweka liTBC hapo tu
 
Pole sana na hali inayokupata. Nakushauri kamwone daktari wa magonjwa ya akili ikiwezekana nenda Mirembe. Mirembe hospitali watu uiongelea kihasi lakini imesaidia watu wengi.
Waweza pia kuwaona madaktari wa magonjwa ya akili hospitali ya rufaa iliyo kwenye eneo lako kama Mirembe hospitali ni mbali kwako.
 
Daah yani unaweza kujihisi unamajangabkumbe kuna wenye majanga zaidi yako,kwa nliyoyasoma humu mimi kumbe sina hata matatizo.

Poleni sana wandugu,msikate tamaa,jiwekeni karibu na mwenyezi mungu na wale wenye upendo wa dhati na nyinyi,tafuteni solisheni kwa wanasaikolojia na zidisheni duwa huwenda matatizo mlo nayo ni ya kiroho zaidi.
 
Huu uzi unaweza kukufanya uanze kufurahia maisha hata kama ulishakata tamaa watu wana matatizo hadi huruma!.Ndio maana si kila anaejiua anastahili kulaumiwa.
 
Hakyanan mkuu hakuna cha sonona wala nini, we umepigwa kimbora. Hapo inabidi utafute mtaalam, HAIKATAI.
 
Back
Top Bottom