Maisha yangu yamekwisha?

Maisha yangu yamekwisha?

You're a coward to leave four kids and their mom to fend for themselves. You're a cruel, lowlife scum and do not deserve any sympathy from society. You should consider yourself less than a man due to your reckless actions and behavior.
 
Hz mbona kama dalili za mtangazaji wa 360 Hassan Ngoma.
Hahahahah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana jamiiforums nipenda kuliko mitandao yote aise inavituko na inachekesha yaan nikiwa humu unakuta nacheka kwa saut mpaka watu. Wananishangaa nacheka nn
 
Ulikuwa mwajiriwa halafu paragraph nyingine ulikuwa unamiliki ofisi tatu
Kwa kweli pole sana unaumwa maradhi zaidi ya moja yaani depression, anxiety na stress na mbaya zaidi unapata na usahaulifu

Achana na yote nenda kwa mama yako kapumzike huko hakuna nguvu kubwa kama ya mama
Utakaa sawa kwa mda mfupi tu
Lakini ukiendelea na maisha yako haya uaanza kufikiria kujiua
Pole sana
 
Mkuu ni kweli nilimiliki ofisi tatu za biashara ya Mobile money na zote niliziacha tu bila hata kujua mtaji ukoje
 
A
Habari wandugu

Mimi ni mwanamume mwenye Umri wa miaka 35 Nina mke na watoto wanne.Tatizo langu ni kwamba ninahisi ninatatizo kubwa la kiakili ingawa sina uhakika.

Nilikuwa mwajiriwa na mara ghafla nikajikuta sitaki kazi bila sababu yoyote ya msingi,morale ikashuka,mahudhurio yakashuka,performance ikashuka na mwishowe nikasimamishwa kazi.Katika kipindi hicho pia nilipoteza upendo kwa familia yangu,watoto wangu,rafiki zangu na hata ndugu.Sikutaka ukaribu na mtu wala sikutaka kusaidiwa wala kusaidia mtu.Nilikuwa namiliko nyumba nikaiuza na kwenda kupanga,nilikuwa na gari nalo nikaliuza.Pesa nikazitapanya tapanya tu mpaka zikaisha.

Mke wangu baada ya kusumbuana naye kwa muda mrefu aliamua kuondoka ila mama yangu alimchukua na kukaa naye pamoja na watoto wangu.Mimi kwa sasa naishi na mwanamke mwingine ambaye nimezaa naye mtoto mmoja lakini si kwamba nampenda bali niko nae tu kama msichana wa kunifulia nguo na kunipikia,Nimehama kwenye nyuma tuliyopanga na mke wangu proper na hata sijui vitu vyangu viko katika hali gani na wala sijui kodi inalipwaje yaani i do not care

NIlikuwa namiliki ofisi tatu za biashara na zote nilizitelekeza sijua hata zina ali gani naisi kila kitu kitakuwa kimepotea ingawa hata sifuatilii wala kujali chochote.

Mimi sisi mlevi ingawa ninakunywa.Mimi sio mjinga kwa sababu nina uelewa wa mambo mengi.Sasa hivi ninakaanga chipsi tena ni siku nikijisikia kufanya hivyo.Mara nyingi huyu mwanamke ninayekaa naye ndia anahangaika kutafuta hela ya kula na kufungua kijiwe chetu cha chipsi.Yaani nimekuwa na tabia na mtazamo wa ajabu kuhusu maisha.Sijali chochote wala yoyote.Nilijiandikisha chuo kuongeza elimu anagalau nitulize kichwa lakini nako nimeshindwa kuendelea mwaka huu kutokana na kukosa Pesa.Nimelipa ada kidogo lakini nimejikuta sina interest bali naona kama napoteza tu muda.

Hapo nilipo sina interest na jambo lolote wala mtu yoyote.Hata marafiki zangu wala ndugu zangu.Niko Niko tu.

Ukiniona huwezi fikiri kwamba nimepoteza muelekeo wala huwezi hisi kwamba nina mambo magumu lakini nahisi kabisa ninachanganyikiwa na ninajizuia kwa nguvu sana.

Sijui kwa nini nimekuwa hivi.Kila nikitulia najiuliza lakini sipati majibu nikijaribu kubadilika najikuta narudi kulekule.

Ni mambo mengi sana mabaya ambayo yanaendelea kwenye maisa yangu ila haya ni kwa uchache.Tafadhali mnisaidie tatizo langu ni nini?

Jambo pekee ambalo limebaki kwenye kichwa changu ni kutafakari mustakabali wa nchi yetu.Nimejikuta natumia muda mwingi na nguvu nyingi kufuatilia siasa za nchi yetu ingawa hata sina interest na siasa kivile

Tafadhali kama kuna anayeweza kunisaidia kutambua tatizo langu hili au kunishauri aniambie kitu cha kufanya maana kwa sasa kichwa changu kimechoka sana.

Please help if you can.

Shida yangu,sio pesa nahitaji mtu atakeyeweza kunipa muongoza upya katika maisha yangu kabla sijapotea kabisa.Nimeboreka sana na maisha sina interest yoyote na maisha.Sijawahi kufikiria suicide,wala sihisi kukata tamaa bali nahisi kwamba interest yangu na maisha imeshuka sana bila sababu ya kueleweka
Attitude toward your visualized goal,ndo kitu kitakusukuma kusonga mbele.
 
kiukweli kama kweli una hali hiyo usipotafuta suruhisho mapema soon utaungana na akina chid benzi
 
Mkuu ni kweli nilimiliki ofisi tatu za biashara ya Mobile money na zote niliziacha tu bila hata kujua mtaji ukoje
Ooh kwa hiyo zilikuwa zinasimamiwa na watu wakati wewe ukiwa muajiriwa, hapo nimeelewa nisamehe bure.

Ila haya maradhi yatakufanya hata usioge wala kubadilisha nguo na hapo utakuwa umefika pabaya zaidi
Usitumie madawa ya depression kabisa ila badala yake unahitaji ukae mbali na sehemu ya tukio
Nina maana ubadili kabisa mfumo wa maisha kwa muda
 
Mkuu muone Psychologists kabla mambo hayajaaribika zaidi, watu wanapata depression once in a while but seems yako ni major depression,symptoms ziko sevearly na zimekaa kwa muda,muone mtu mapema,ukipona na kuona jinsi ulikua kwenye mess unaweza kurelapse tena,hivyo nakushsuri umuone daktari IMMEDIATELY...kabla mambo hayajaaribika zaidi,,,
 
Napitia hali kama yako, ila nipo makini vibaya sana, mambo mengi namuuliza mke wangu na nikihisi nitaharibu basi huwa natoa maagizo kwa mke wangu afanye, nimejikuta napenda kukaa peke yangu mda wote, sipendi kwenda kanisanai tena kama zamani, ila mm shida ni kuwa tuna mtoto mmoja na kila wife akizaa wanakufa, siwezi kumfukuza coz bado nampenda na hana kosa, ila nimejikuta nachepuka sana.
 
Ooh kwa hiyo zilikuwa zinasimamiwa na watu wakati wewe ukiwa muajiriwa, hapo nimeelewa nisamehe bure.

Ila haya maradhi yatakufanya hata usioge wala kubadilisha nguo na hapo utakuwa umefika pabaya zaidi
Usitumie madawa ya depression kabisa ila badala yake unahitaji ukae mbali na sehemu ya tukio
Nina maana ubadili kabisa mfumo wa maisha kwa muda

Kwa state. Aliyofikia dawa ni muhimu ingawa ni kwa muda, sidhani mtu mwenye major depression anatibiwa kwa psychotherapy peke yake....
 
Nimehama maeneo matatu kiukweli kwa sasa ila bado naona ali ni ile ile
 
Wabongo wenye depression ni wengi na wanazidi kuongezeka zile takwimu zinazosema katika kila watanzania wanne mmoja ni kichaa inawezekana sasa katika kila watanzania wawili mmoja ni kichaa, wengi waliochangia hapa wamedhihirisha nao wana hilo tatizo. JIWE mwenyewe nae yumo kwenye kundi la wehu. Depression ni mwanzo wa ukichaa lazima uone wataalam upate tiba maana bado kidogo utaokota makopo, comment za hapa hazita kusaidia ila zitakuongezea tu ukichaa, wahi ukatibiwe usipotibiwa utakuwa full kichaa na ukianza dawa fuata masharti
 
Pole sana mkuu, ila kama umepata muda wa kuandika yote haya basi utapona hivi karibuni
 
Kwa state. Aliyofikia dawa ni muhimu ingawa ni kwa muda, sidhani mtu mwenye major depression anatibiwa kwa psychotherapy peke yake....
Kweli kabisa lakini ni dawa gani hizo?
Labda kwa ajili ya usingizi tu
Nakumbuka kuna wakati kulikuwa na Prozac hizi ni dawa za depression lakini side effects zake zilikuwa mbaya sana ambazo zinakutuma ujidhuru tu
Zilipigwa marufufu Ulaya baada ya watu kulalamika
Yaani huu ugonjwa ni mbaya sana ila huondoka kama utapata msaada
 
Anti depressant ziko nyingi,unfortunately nyingi zina side effects,ila hii sio sababu ya kutokunywa dawa,because benefits outweigh hizi side effects hasa kwa mtu symptoms ziko deep km mtoa Mada...
 
Back
Top Bottom