Maisha yangu yamekwisha?

Maisha yangu yamekwisha?

Sipendi marafiki,
Sidumu kwenye mahusiano,
Sitaki kuoa,
Sitaki kuishi na mtu,
Sipendi kusaidia,
Sipendi kusaidiwa,
Sipendi kazi yang,
Ni mkali kuliko kawaida,
Sipendi kelele,
Sipend malumbano na ushindani,
Napenda visasi na lawama,
Sipendi kuuliza (mfano naenda sehem naweza nisiulize mpaka gari ikanipitisha)
Sipendi kuulizwa (naweza kuulizwa kitu najua ila nikasema sifaham)
Kisirani moto
Nongwaa
Nakasirika ovyo

Ni mengi yananizonga nilizani ni peke yangu kumbe tupo wengi
Mmh yote yanakusibu wewe??
 
Pole Sanaa mkuu hilo tatizo linatukumba wengi lakini tofauti kidogo nawewe ambaye ulikua na maisha yako mazuri tuu..

Ila sisi tusio na ajira yoyote na vyanzao vya MAPATO vya uhakika tuna hali mbaya hujui utaowa lini ama utakua na family stable mwaka gani...

Wataalam tusaidiane haya mambo
Wagonjwa tuko wengi kumbe
 
Mkuu jaribu kubadili mtazamo wewe binafsi

Jaribu kupita YouTube usikilize hata wale watu waliowahi kupoteza matumaini na kuamka tena (inspiration stories)

Badilisha mazingira ya kuishi tafuta sehemu yenye nature

Tafuta vitabu ama majarida ujisomee

Nguvu kubwa ya mabadiliko iko ndani yako (internal power)
Ukiamua mwenyewe ni rahisi zaidi!

Kumbuka ulipoanzia kubadilika and start from there
 
Nilifikiri hivo but hawa wanawake sijawai wapa sababu ya kunifanyia hivo.Na kwa maono yangu naona kama wao wanateseka kuliko mimi kwa sababu I have nill love or attraction to them.
Wewe sababu huwezi ijua but in real sense wanawake ni zaidi ya uwajuavyo
 
Sipendi marafiki,
Sidumu kwenye mahusiano,
Sitaki kuoa,
Sitaki kuishi na mtu,
Sipendi kusaidia,
Sipendi kusaidiwa,
Sipendi kazi yang,
Ni mkali kuliko kawaida,
Sipendi kelele,
Sipend malumbano na ushindani,
Napenda visasi na lawama,
Sipendi kuuliza (mfano naenda sehem naweza nisiulize mpaka gari ikanipitisha)
Sipendi kuulizwa (naweza kuulizwa kitu najua ila nikasema sifaham)
Kisirani moto
Nongwaa
Nakasirika ovyo

Ni mengi yananizonga nilizani ni peke yangu kumbe tupo wengi
Hz mbona kama dalili za mtangazaji wa 360 Hassan Ngoma.
 
Mkuu, most likely umepatwa na ugonjwa wa Depression. Nichek inbox kwa msaada zaidi.
 
Inaonekana wewe Uko mbali sana na MUNGU. Kama ilikuwa mkristo, nenda kawatafute wachungaji wakusaidie.
Kama ulikuwa unamiliki ofisi zaidi ya moja,pia ilikuwa umeajiriwa, angalia kama ulijiinfiza katika kutafuta utajiri kwa nguvu za giza, Basi kamba ya kujinyonga haiko mbali nawe. Tuliwaona wengi tu waliokuwa vizuri, Lakini wakajitundika bila sababu maalum. Kalaga bahho.
 
Habari wandugu

Mimi ni mwanamume mwenye Umri wa miaka 35 Nina mke na watoto wanne.Tatizo langu ni kwamba ninahisi ninatatizo kubwa la kiakili ingawa sina uhakika.

Nilikuwa mwajiriwa na mara ghafla nikajikuta sitaki kazi bila sababu yoyote ya msingi,morale ikashuka,mahudhurio yakashuka,performance ikashuka na mwishowe nikasimamishwa kazi.Katika kipindi hicho pia nilipoteza upendo kwa familia yangu,watoto wangu,rafiki zangu na hata ndugu.Sikutaka ukaribu na mtu wala sikutaka kusaidiwa wala kusaidia mtu.Nilikuwa namiliko nyumba nikaiuza na kwenda kupanga,nilikuwa na gari nalo nikaliuza.Pesa nikazitapanya tapanya tu mpaka zikaisha.

Mke wangu baada ya kusumbuana naye kwa muda mrefu aliamua kuondoka ila mama yangu alimchukua na kukaa naye pamoja na watoto wangu.Mimi kwa sasa naishi na mwanamke mwingine ambaye nimezaa naye mtoto mmoja lakini si kwamba nampenda bali niko nae tu kama msichana wa kunifulia nguo na kunipikia,Nimehama kwenye nyuma tuliyopanga na mke wangu proper na hata sijui vitu vyangu viko katika hali gani na wala sijui kodi inalipwaje yaani i do not care

NIlikuwa namiliki ofisi tatu za biashara na zote nilizitelekeza sijua hata zina ali gani naisi kila kitu kitakuwa kimepotea ingawa hata sifuatilii wala kujali chochote.

Mimi sisi mlevi ingawa ninakunywa.Mimi sio mjinga kwa sababu nina uelewa wa mambo mengi.Sasa hivi ninakaanga chipsi tena ni siku nikijisikia kufanya hivyo.Mara nyingi huyu mwanamke ninayekaa naye ndia anahangaika kutafuta hela ya kula na kufungua kijiwe chetu cha chipsi.Yaani nimekuwa na tabia na mtazamo wa ajabu kuhusu maisha.Sijali chochote wala yoyote.Nilijiandikisha chuo kuongeza elimu anagalau nitulize kichwa lakini nako nimeshindwa kuendelea mwaka huu kutokana na kukosa Pesa.Nimelipa ada kidogo lakini nimejikuta sina interest bali naona kama napoteza tu muda.

Hapo nilipo sina interest na jambo lolote wala mtu yoyote.Hata marafiki zangu wala ndugu zangu.Niko Niko tu.

Ukiniona huwezi fikiri kwamba nimepoteza muelekeo wala huwezi hisi kwamba nina mambo magumu lakini nahisi kabisa ninachanganyikiwa na ninajizuia kwa nguvu sana.

Sijui kwa nini nimekuwa hivi.Kila nikitulia najiuliza lakini sipati majibu nikijaribu kubadilika najikuta narudi kulekule.

Ni mambo mengi sana mabaya ambayo yanaendelea kwenye maisa yangu ila haya ni kwa uchache.Tafadhali mnisaidie tatizo langu ni nini?

Jambo pekee ambalo limebaki kwenye kichwa changu ni kutafakari mustakabali wa nchi yetu.Nimejikuta natumia muda mwingi na nguvu nyingi kufuatilia siasa za nchi yetu ingawa hata sina interest na siasa kivile

Tafadhali kama kuna anayeweza kunisaidia kutambua tatizo langu hili au kunishauri aniambie kitu cha kufanya maana kwa sasa kichwa changu kimechoka sana.

Please help if you can.

Shida yangu,sio pesa nahitaji mtu atakeyeweza kunipa muongoza upya katika maisha yangu kabla sijapotea kabisa.Nimeboreka sana na maisha sina interest yoyote na maisha.Sijawahi kufikiria suicide,wala sihisi kukata tamaa bali nahisi kwamba interest yangu na maisha imeshuka sana bila sababu ya kueleweka
Pole sana kaka..

Nadeclare kwamba mie sio mtaalam wa afya wala mwanapsychology.. Nikishakusema hayo naweza kusema kwa asilimia 60 ni depression iliyotokana na kupoteza life purpose..

Inawezekana wakati unakua picha yako ya maisha ilikuwa ni kutengeneza hela, kuwa na mke na watoto na kuishi vizuri.. Umefikia hatua hiyo na sasa unajiuliza what next?? Tena umefikia hatua hiyo before hata kustaafu..

Kwa waafrika wengi tunakuzwa katika mazingira ya kuwaza kuwa bora zaidi ya wazazi wetu.. Kama mzazi aliweza kukusomesha tu huku akiwa amepanga basi tunaona mafanikio ni kuwa na nyumba na kusomesha watoto etc..

Kwa mtazamo wangu, pamoja na kwenda kwa psychologist rudi home na uwaangalie watoto wako then jiulize, ungependa walelewe katika mazingira magumu?? Wasome government schools?? Wahangaike kupata mikopo ili kusoma chuo?? If not, nahisi tayari hiyo itaanza kubadili taswira yako..

Muangalie mama yako ambaye kwa uelewa wangu mdogo ndie umpendae sana, jiulize, leo akiumwa ni nani atakayemsaidia kila sekunde na kuhakikisha anakuwa salama.. Hiyo ni challenge ya pili..

Jiulize pia, besides kutaka kuwa na mali, mke na watoto, wakati unakuwa ni vitu gani vingine ulivitamani uvitekeleze!! Anza kukamilisha kimoja baada ya kingine..

Ulishafikia level ya kuwa rich, but along the way did you take time to appreciate the little steps you were making?? Tunapoteza (I included) furaha ya maisha kwakuwa from time to time tunataka tuachieve big but hatuchukui muda kumshukuru Mungu for the little tumefanikiwa.. From kuamka asubuhi to kuingia kulala, watoto na familia kuamka na kulala, kuingia na kutoka kazini bila mikwaruzano, kufika destination bila tatizo vyote ni vya kumshukuru Muumba.. Hata unapopewa huduma sehemu mshukuru Mungu.. ukianza kushukuru kwa mambo madogo, utaona maisha yanavyobadilika..

Nahope hii iwe turning point yako for the better in life..
 
Depression mara nyingi inasababishwa na life changing events kama kifo kwenye familia, kukosa kazi, ajali, n.k. Mara nyingine inasababishwa na hormonal imbalance - upungufu ya feel-good hormones yaani seratonin na uongezeko wa stress-hormones yaani cholostin ambayo yaana katisha furaha na mwelekeo. Haijulikani nini inasababisha hormones kupunguwa au kuzidi? Mkuu, mimi sio mtaalumu wa ugonjwa huu, lakini nakushauri uanze kutafuta na kujisikia vizuri na raha ndogo, ndogo za hapa na pale. Hii itazidisha zile feel-good hormones. Aanza kwa kumjali huyu mke wako wa sasa, ambaye anajituma sana kwa ajili yako. Read, listen and watch things zinazokufurahisha! Fanya mazoezi na weka mazingira yako safi. Kula lishe bora kwa muda maalum pamoja na familia. Pole pole utaanza kujisikia vizuri huku feel-good hormones ziki ongezeka. Usikae peke yako na mawazo mabaya, hii inaongeza feel-bad hormones and pull you furthn into depression. Weka tabia ya kuandika dairies, hii inasaidi kupanga na kuelewa mawazo yako. Kumbuka, its a slow and long road to recovery, so usikate tamaa mapema.
 
Pole sana kaka..

Nadeclare kwamba mie sio mtaalam wa afya wala mwanapsychology.. Nikishakusema hayo naweza kusema kwa asilimia 60 ni depression iliyotokana na kupoteza life purpose..

Inawezekana wakati unakua picha yako ya maisha ilikuwa ni kutengeneza hela, kuwa na mke na watoto na kuishi vizuri.. Umefikia hatua hiyo na sasa unajiuliza what next?? Tena umefikia hatua hiyo before hata kustaafu..

Kwa waafrika wengi tunakuzwa katika mazingira ya kuwaza kuwa bora zaidi ya wazazi wetu.. Kama mzazi aliweza kukusomesha tu huku akiwa amepanga basi tunaona mafanikio ni kuwa na nyumba na kusomesha watoto etc..

Kwa mtazamo wangu, pamoja na kwenda kwa psychologist rudi home na uwaangalie watoto wako then jiulize, ungependa walelewe katika mazingira magumu?? Wasome government schools?? Wahangaike kupata mikopo ili kusoma chuo?? If not, nahisi tayari hiyo itaanza kubadili taswira yako..

Muangalie mama yako ambaye kwa uelewa wangu mdogo ndie umpendae sana, jiulize, leo akiumwa ni nani atakayemsaidia kila sekunde na kuhakikisha anakuwa salama.. Hiyo ni challenge ya pili..

Jiulize pia, besides kutaka kuwa na mali, mke na watoto, wakati unakuwa ni vitu gani vingine ulivitamani uvitekeleze!! Anza kukamilisha kimoja baada ya kingine..

Ulishafikia level ya kuwa rich, but along the way did you take time to appreciate the little steps you were making?? Tunapoteza (I included) furaha ya maisha kwakuwa from time to time tunataka tuachieve big but hatuchukui muda kumshukuru Mungu for the little tumefanikiwa.. From kuamka asubuhi to kuingia kulala, watoto na familia kuamka na kulala, kuingia na kutoka kazini bila mikwaruzano, kufika destination bila tatizo vyote ni vya kumshukuru Muumba.. Hata unapopewa huduma sehemu mshukuru Mungu.. ukianza kushukuru kwa mambo madogo, utaona maisha yanavyobadilika..

Nahope hii iwe turning point yako for the better in life..
Ushauri mzuri sna heshima kwako kaka
 
Poleni sana iyo ni shida inakumba wengi,inaitwa "brain fog" unaweza kugoogle kwa maelezo zaidi.Pia msichanganye depression na brain fog ni vitu viwili tofauti.
Habari njema ni shida inayotatulika .
 
Back
Top Bottom