Maisha yangu yamekwisha?

Maisha yangu yamekwisha?

Mleta mada MEROGWA ! Sasa kwa faida ya WANAUME WOTE
IKITOKEA HALI ISIYO ELEWEKA KWAKO DAWA PEKEE YA KUUONDOA ULOZI WA AINA HIYO NI KUNYWA HAJA NDOGO YA MZAZI WA KIKE!
UZOMBIE WOTE KWISHA HABARI YAKE
 
Sipendi marafiki,
Sidumu kwenye mahusiano,
Sitaki kuoa,
Sitaki kuishi na mtu,
Sipendi kusaidia,
Sipendi kusaidiwa,
Sipendi kazi yang,
Ni mkali kuliko kawaida,
Sipendi kelele,
Sipend malumbano na ushindani,
Napenda visasi na lawama,
Sipendi kuuliza (mfano naenda sehem naweza nisiulize mpaka gari ikanipitisha)
Sipendi kuulizwa (naweza kuulizwa kitu najua ila nikasema sifaham)
Kisirani moto
Nongwaa
Nakasirika ovyo

Ni mengi yananizonga nilizani ni peke yangu kumbe tupo wengi

This is me 100% ila napenda kusaidia mpaka muda mwingine utoaji wangu wa msaada unanikandamiza!!
 
Habari wandugu

Mimi ni mwanamume mwenye Umri wa miaka 35 Nina mke na watoto wanne.Tatizo langu ni kwamba ninahisi ninatatizo kubwa la kiakili ingawa sina uhakika.

Nilikuwa mwajiriwa na mara ghafla nikajikuta sitaki kazi bila sababu yoyote ya msingi,morale ikashuka,mahudhurio yakashuka,performance ikashuka na mwishowe nikasimamishwa kazi.Katika kipindi hicho pia nilipoteza upendo kwa familia yangu,watoto wangu,rafiki zangu na hata ndugu.Sikutaka ukaribu na mtu wala sikutaka kusaidiwa wala kusaidia mtu.Nilikuwa namiliko nyumba nikaiuza na kwenda kupanga,nilikuwa na gari nalo nikaliuza.Pesa nikazitapanya tapanya tu mpaka zikaisha.

Mke wangu baada ya kusumbuana naye kwa muda mrefu aliamua kuondoka ila mama yangu alimchukua na kukaa naye pamoja na watoto wangu.Mimi kwa sasa naishi na mwanamke mwingine ambaye nimezaa naye mtoto mmoja lakini si kwamba nampenda bali niko nae tu kama msichana wa kunifulia nguo na kunipikia,Nimehama kwenye nyuma tuliyopanga na mke wangu proper na hata sijui vitu vyangu viko katika hali gani na wala sijui kodi inalipwaje yaani i do not care

NIlikuwa namiliki ofisi tatu za biashara na zote nilizitelekeza sijua hata zina ali gani naisi kila kitu kitakuwa kimepotea ingawa hata sifuatilii wala kujali chochote.

Mimi sisi mlevi ingawa ninakunywa.Mimi sio mjinga kwa sababu nina uelewa wa mambo mengi.Sasa hivi ninakaanga chipsi tena ni siku nikijisikia kufanya hivyo.Mara nyingi huyu mwanamke ninayekaa naye ndia anahangaika kutafuta hela ya kula na kufungua kijiwe chetu cha chipsi.Yaani nimekuwa na tabia na mtazamo wa ajabu kuhusu maisha.Sijali chochote wala yoyote.Nilijiandikisha chuo kuongeza elimu anagalau nitulize kichwa lakini nako nimeshindwa kuendelea mwaka huu kutokana na kukosa Pesa.Nimelipa ada kidogo lakini nimejikuta sina interest bali naona kama napoteza tu muda.

Hapo nilipo sina interest na jambo lolote wala mtu yoyote.Hata marafiki zangu wala ndugu zangu.Niko Niko tu.

Ukiniona huwezi fikiri kwamba nimepoteza muelekeo wala huwezi hisi kwamba nina mambo magumu lakini nahisi kabisa ninachanganyikiwa na ninajizuia kwa nguvu sana.

Sijui kwa nini nimekuwa hivi.Kila nikitulia najiuliza lakini sipati majibu nikijaribu kubadilika najikuta narudi kulekule.

Ni mambo mengi sana mabaya ambayo yanaendelea kwenye maisa yangu ila haya ni kwa uchache.Tafadhali mnisaidie tatizo langu ni nini?

Jambo pekee ambalo limebaki kwenye kichwa changu ni kutafakari mustakabali wa nchi yetu.Nimejikuta natumia muda mwingi na nguvu nyingi kufuatilia siasa za nchi yetu ingawa hata sina interest na siasa kivile

Tafadhali kama kuna anayeweza kunisaidia kutambua tatizo langu hili au kunishauri aniambie kitu cha kufanya maana kwa sasa kichwa changu kimechoka sana.

Please help if you can.

Shida yangu,sio pesa nahitaji mtu atakeyeweza kunipa muongoza upya katika maisha yangu kabla sijapotea kabisa.Nimeboreka sana na maisha sina interest yoyote na maisha.Sijawahi kufikiria suicide,wala sihisi kukata tamaa bali nahisi kwamba interest yangu na maisha imeshuka sana bila sababu ya kueleweka

Itakua unahitaji kumuona psychologist akusaidie...nadhani ni depression ile chronic..

Inatibika,tafuta daktari unamlipa anakufanyia sessions kadhaa wa kadha then unarudi hewani ukiwa na power 100%!

Hii ipo sana,halafu tunaishia kua na imani za kulogwa,etc

Tanzania Therapists sidhani kama tunao wa kutosha,kama ukikosa unaweza check kwenye mtandao hata Kenya au SA,unalipia unatibiwa!

Au unaweza kwenda India kufanya yoga sessions ndani ya 30 days akili inakua shutdown 100% na kua restarted,it is a very good experience.

Fujo za maisha yakikuzidi unapotelea huko unarudi mpya kabisa!
 
Sipendi marafiki,
Sidumu kwenye mahusiano,
Sitaki kuoa,
Sitaki kuishi na mtu,
Sipendi kusaidia,
Sipendi kusaidiwa,
Sipendi kazi yang,
Ni mkali kuliko kawaida,
Sipendi kelele,
Sipend malumbano na ushindani,
Napenda visasi na lawama,
Sipendi kuuliza (mfano naenda sehem naweza nisiulize mpaka gari ikanipitisha)
Sipendi kuulizwa (naweza kuulizwa kitu najua ila nikasema sifaham)
Kisirani moto
Nongwaa
Nakasirika ovyo

Ni mengi yananizonga nilizani ni peke yangu kumbe tupo wengi
Pole sana mkuu daah I thought nko mwenyewe
 
Mkuu kama kukaanga kwenyewe viepe sometimes anamuachia mamiloo sasa huo mpunga wa kwenda India ataupata kweli?
 
unahitaji maombi au kama unaaamini uganga nenda kaaguliwe kuna mtu kachukua nyota yako kwa hiyo hapo nafsi yako bado inaipigania kuituddisha kwa ushauri zaidi nipm
 
Habari wandugu

Mimi ni mwanamume mwenye Umri wa miaka 35 Nina mke na watoto wanne.Tatizo langu ni kwamba ninahisi ninatatizo kubwa la kiakili ingawa sina uhakika.

Nilikuwa mwajiriwa na mara ghafla nikajikuta sitaki kazi bila sababu yoyote ya msingi,morale ikashuka,mahudhurio yakashuka,performance ikashuka na mwishowe nikasimamishwa kazi.Katika kipindi hicho pia nilipoteza upendo kwa familia yangu,watoto wangu,rafiki zangu na hata ndugu.Sikutaka ukaribu na mtu wala sikutaka kusaidiwa wala kusaidia mtu.Nilikuwa namiliko nyumba nikaiuza na kwenda kupanga,nilikuwa na gari nalo nikaliuza.Pesa nikazitapanya tapanya tu mpaka zikaisha.

Mke wangu baada ya kusumbuana naye kwa muda mrefu aliamua kuondoka ila mama yangu alimchukua na kukaa naye pamoja na watoto wangu.Mimi kwa sasa naishi na mwanamke mwingine ambaye nimezaa naye mtoto mmoja lakini si kwamba nampenda bali niko nae tu kama msichana wa kunifulia nguo na kunipikia,Nimehama kwenye nyuma tuliyopanga na mke wangu proper na hata sijui vitu vyangu viko katika hali gani na wala sijui kodi inalipwaje yaani i do not care

NIlikuwa namiliki ofisi tatu za biashara na zote nilizitelekeza sijua hata zina ali gani naisi kila kitu kitakuwa kimepotea ingawa hata sifuatilii wala kujali chochote.

Mimi sisi mlevi ingawa ninakunywa.Mimi sio mjinga kwa sababu nina uelewa wa mambo mengi.Sasa hivi ninakaanga chipsi tena ni siku nikijisikia kufanya hivyo.Mara nyingi huyu mwanamke ninayekaa naye ndia anahangaika kutafuta hela ya kula na kufungua kijiwe chetu cha chipsi.Yaani nimekuwa na tabia na mtazamo wa ajabu kuhusu maisha.Sijali chochote wala yoyote.Nilijiandikisha chuo kuongeza elimu anagalau nitulize kichwa lakini nako nimeshindwa kuendelea mwaka huu kutokana na kukosa Pesa.Nimelipa ada kidogo lakini nimejikuta sina interest bali naona kama napoteza tu muda.

Hapo nilipo sina interest na jambo lolote wala mtu yoyote.Hata marafiki zangu wala ndugu zangu.Niko Niko tu.

Ukiniona huwezi fikiri kwamba nimepoteza muelekeo wala huwezi hisi kwamba nina mambo magumu lakini nahisi kabisa ninachanganyikiwa na ninajizuia kwa nguvu sana.

Sijui kwa nini nimekuwa hivi.Kila nikitulia najiuliza lakini sipati majibu nikijaribu kubadilika najikuta narudi kulekule.

Ni mambo mengi sana mabaya ambayo yanaendelea kwenye maisa yangu ila haya ni kwa uchache.Tafadhali mnisaidie tatizo langu ni nini?

Jambo pekee ambalo limebaki kwenye kichwa changu ni kutafakari mustakabali wa nchi yetu.Nimejikuta natumia muda mwingi na nguvu nyingi kufuatilia siasa za nchi yetu ingawa hata sina interest na siasa kivile

Tafadhali kama kuna anayeweza kunisaidia kutambua tatizo langu hili au kunishauri aniambie kitu cha kufanya maana kwa sasa kichwa changu kimechoka sana.

Please help if you can.

Shida yangu,sio pesa nahitaji mtu atakeyeweza kunipa muongoza upya katika maisha yangu kabla sijapotea kabisa.Nimeboreka sana na maisha sina interest yoyote na maisha.Sijawahi kufikiria suicide,wala sihisi kukata tamaa bali nahisi kwamba interest yangu na maisha imeshuka sana bila sababu ya kueleweka
[emoji121]
MKUU,

HAPO KWENYE KUFUATILIA SIASA NA MUSTAKABALI WA NCHI HAPO NDIPO UNAPOJIONGEZEA MATATIZO KWA BEI NAFUU HAPO.

[emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji469] [emoji469]
 
Nimegundua watanzania wengi tuna tatizo hili; watu tumekata tamaa ya maisha ;mioyo imevimba kwa maumivu; hatuoni tena sababu ya kuendelea kuishi.
 
Nilikua na tatizo kama lako wiki 3 zimepita asee ilifikia kiwango cha kua nakunywa dawa za Usingizi, daaaahh usiombe ukutwe na hili
 
Sipendi marafiki,
Sidumu kwenye mahusiano,
Sitaki kuoa,
Sitaki kuishi na mtu,
Sipendi kusaidia,
Sipendi kusaidiwa,
Sipendi kazi yang,
Ni mkali kuliko kawaida,
Sipendi kelele,
Sipend malumbano na ushindani,
Napenda visasi na lawama,
Sipendi kuuliza (mfano naenda sehem naweza nisiulize mpaka gari ikanipitisha)
Sipendi kuulizwa (naweza kuulizwa kitu najua ila nikasema sifaham)
Kisirani moto
Nongwaa
Nakasirika ovyo

Ni mengi yananizonga nilizani ni peke yangu kumbe tupo wengi
Khe!
 
Mambo matatu yatakusaidia sana (a)kuwa karibu na mola wako mtukufu kadri uwezavyo ikibdi fanya ibada sa usiku
(b)rudi nyumbani kwa wazazi wakupe baraka zao tena
(C)tenga muda maalumu wa kufanya mazoezi kadri uwezavyo, jipe muda wa mapumzko
Habari wandugu

Mimi ni mwanamume mwenye Umri wa miaka 35 Nina mke na watoto wanne.Tatizo langu ni kwamba ninahisi ninatatizo kubwa la kiakili ingawa sina uhakika.

Nilikuwa mwajiriwa na mara ghafla nikajikuta sitaki kazi bila sababu yoyote ya msingi,morale ikashuka,mahudhurio yakashuka,performance ikashuka na mwishowe nikasimamishwa kazi.Katika kipindi hicho pia nilipoteza upendo kwa familia yangu,watoto wangu,rafiki zangu na hata ndugu.Sikutaka ukaribu na mtu wala sikutaka kusaidiwa wala kusaidia mtu.Nilikuwa namiliko nyumba nikaiuza na kwenda kupanga,nilikuwa na gari nalo nikaliuza.Pesa nikazitapanya tapanya tu mpaka zikaisha.

Mke wangu baada ya kusumbuana naye kwa muda mrefu aliamua kuondoka ila mama yangu alimchukua na kukaa naye pamoja na watoto wangu.Mimi kwa sasa naishi na mwanamke mwingine ambaye nimezaa naye mtoto mmoja lakini si kwamba nampenda bali niko nae tu kama msichana wa kunifulia nguo na kunipikia,Nimehama kwenye nyuma tuliyopanga na mke wangu proper na hata sijui vitu vyangu viko katika hali gani na wala sijui kodi inalipwaje yaani i do not care

NIlikuwa namiliki ofisi tatu za biashara na zote nilizitelekeza sijua hata zina ali gani naisi kila kitu kitakuwa kimepotea ingawa hata sifuatilii wala kujali chochote.

Mimi sisi mlevi ingawa ninakunywa.Mimi sio mjinga kwa sababu nina uelewa wa mambo mengi.Sasa hivi ninakaanga chipsi tena ni siku nikijisikia kufanya hivyo.Mara nyingi huyu mwanamke ninayekaa naye ndia anahangaika kutafuta hela ya kula na kufungua kijiwe chetu cha chipsi.Yaani nimekuwa na tabia na mtazamo wa ajabu kuhusu maisha.Sijali chochote wala yoyote.Nilijiandikisha chuo kuongeza elimu anagalau nitulize kichwa lakini nako nimeshindwa kuendelea mwaka huu kutokana na kukosa Pesa.Nimelipa ada kidogo lakini nimejikuta sina interest bali naona kama napoteza tu muda.

Hapo nilipo sina interest na jambo lolote wala mtu yoyote.Hata marafiki zangu wala ndugu zangu.Niko Niko tu.

Ukiniona huwezi fikiri kwamba nimepoteza muelekeo wala huwezi hisi kwamba nina mambo magumu lakini nahisi kabisa ninachanganyikiwa na ninajizuia kwa nguvu sana.

Sijui kwa nini nimekuwa hivi.Kila nikitulia najiuliza lakini sipati majibu nikijaribu kubadilika najikuta narudi kulekule.

Ni mambo mengi sana mabaya ambayo yanaendelea kwenye maisa yangu ila haya ni kwa uchache.Tafadhali mnisaidie tatizo langu ni nini?

Jambo pekee ambalo limebaki kwenye kichwa changu ni kutafakari mustakabali wa nchi yetu.Nimejikuta natumia muda mwingi na nguvu nyingi kufuatilia siasa za nchi yetu ingawa hata sina interest na siasa kivile

Tafadhali kama kuna anayeweza kunisaidia kutambua tatizo langu hili au kunishauri aniambie kitu cha kufanya maana kwa sasa kichwa changu kimechoka sana.

Please help if you can.

Shida yangu,sio pesa nahitaji mtu atakeyeweza kunipa muongoza upya katika maisha yangu kabla sijapotea kabisa.Nimeboreka sana na maisha sina interest yoyote na maisha.Sijawahi kufikiria suicide,wala sihisi kukata tamaa bali nahisi kwamba interest yangu na maisha imeshuka sana bila sababu ya kueleweka
 
kumbe tupo wengi lakini sijafikia kuuza Mali zangu.....Hali kama hio napitia baada ya kumpoteza mama....
 
Back
Top Bottom