Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
Sijaelewa chief?Hz mbona kama dalili za mtangazaji wa 360 Hassan Ngoma.

Nashukuru mkuu umeleta hili maana nimejifunza kitu kipya..Poleni sana iyo ni shida inakumba wengi,inaitwa "brain fog" unaweza kugoogle kwa maelezo zaidi.Pia msichanganye depression na brain fog ni vitu viwili tofauti.
Habari njema ni shida inayotatulika .
Ni kweli inatokea baada ya mtu kuwa na shida au ugonjwa fulani,,lakini nikuhakikishie kuna watu wengi wanayo iyo shida bila kuwa na ugonjwa wowote ule hivyo inabaki kuwa idiopathic brain fogNashukuru mkuu umeleta hili maana nimejifunza kitu kipya..
Hii source Brain Fog: 6 Potential Causes ni kama inaiweka brain fog kuwa sio ugonjwa bali dalili za kitu/ugonjwa mwingine..
Kikubwa inaongeza factor nyingine ya change in hormones besides yale tuliyoyajadili..
Poor MindHabari wandugu
Mimi ni mwanamume mwenye Umri wa miaka 35 Nina mke na watoto wanne.Tatizo langu ni kwamba ninahisi ninatatizo kubwa la kiakili ingawa sina uhakika.
Nilikuwa mwajiriwa na mara ghafla nikajikuta sitaki kazi bila sababu yoyote ya msingi,morale ikashuka,mahudhurio yakashuka,performance ikashuka na mwishowe nikasimamishwa kazi.Katika kipindi hicho pia nilipoteza upendo kwa familia yangu,watoto wangu,rafiki zangu na hata ndugu.Sikutaka ukaribu na mtu wala sikutaka kusaidiwa wala kusaidia mtu.Nilikuwa namiliko nyumba nikaiuza na kwenda kupanga,nilikuwa na gari nalo nikaliuza.Pesa nikazitapanya tapanya tu mpaka zikaisha.
Mke wangu baada ya kusumbuana naye kwa muda mrefu aliamua kuondoka ila mama yangu alimchukua na kukaa naye pamoja na watoto wangu.Mimi kwa sasa naishi na mwanamke mwingine ambaye nimezaa naye mtoto mmoja lakini si kwamba nampenda bali niko nae tu kama msichana wa kunifulia nguo na kunipikia,Nimehama kwenye nyuma tuliyopanga na mke wangu proper na hata sijui vitu vyangu viko katika hali gani na wala sijui kodi inalipwaje yaani i do not care
NIlikuwa namiliki ofisi tatu za biashara na zote nilizitelekeza sijua hata zina ali gani naisi kila kitu kitakuwa kimepotea ingawa hata sifuatilii wala kujali chochote.
Mimi sisi mlevi ingawa ninakunywa.Mimi sio mjinga kwa sababu nina uelewa wa mambo mengi.Sasa hivi ninakaanga chipsi tena ni siku nikijisikia kufanya hivyo.Mara nyingi huyu mwanamke ninayekaa naye ndia anahangaika kutafuta hela ya kula na kufungua kijiwe chetu cha chipsi.Yaani nimekuwa na tabia na mtazamo wa ajabu kuhusu maisha.Sijali chochote wala yoyote.Nilijiandikisha chuo kuongeza elimu anagalau nitulize kichwa lakini nako nimeshindwa kuendelea mwaka huu kutokana na kukosa Pesa.Nimelipa ada kidogo lakini nimejikuta sina interest bali naona kama napoteza tu muda.
Hapo nilipo sina interest na jambo lolote wala mtu yoyote.Hata marafiki zangu wala ndugu zangu.Niko Niko tu.
Ukiniona huwezi fikiri kwamba nimepoteza muelekeo wala huwezi hisi kwamba nina mambo magumu lakini nahisi kabisa ninachanganyikiwa na ninajizuia kwa nguvu sana.
Sijui kwa nini nimekuwa hivi.Kila nikitulia najiuliza lakini sipati majibu nikijaribu kubadilika najikuta narudi kulekule.
Ni mambo mengi sana mabaya ambayo yanaendelea kwenye maisa yangu ila haya ni kwa uchache.Tafadhali mnisaidie tatizo langu ni nini?
Jambo pekee ambalo limebaki kwenye kichwa changu ni kutafakari mustakabali wa nchi yetu.Nimejikuta natumia muda mwingi na nguvu nyingi kufuatilia siasa za nchi yetu ingawa hata sina interest na siasa kivile
Tafadhali kama kuna anayeweza kunisaidia kutambua tatizo langu hili au kunishauri aniambie kitu cha kufanya maana kwa sasa kichwa changu kimechoka sana.
Please help if you can.
Shida yangu,sio pesa nahitaji mtu atakeyeweza kunipa muongoza upya katika maisha yangu kabla sijapotea kabisa.Nimeboreka sana na maisha sina interest yoyote na maisha.Sijawahi kufikiria suicide,wala sihisi kukata tamaa bali nahisi kwamba interest yangu na maisha imeshuka sana bila sababu ya kueleweka
Maisha unayoishi unaona hayafai,lakini kuna mtu anatamani hayo maisha yako ndugu.Habari wandugu

Pole Mkuu, mpk nimehisi Kutetemeka kaah'..!!Sipendi marafiki,
Sidumu kwenye mahusiano,
Sitaki kuoa,
Sitaki kuishi na mtu,
Sipendi kusaidia,
Sipendi kusaidiwa,
Sipendi kazi yang,
Ni mkali kuliko kawaida,
Sipendi kelele,
Sipend malumbano na ushindani,
Napenda visasi na lawama,
Sipendi kuuliza (mfano naenda sehem naweza nisiulize mpaka gari ikanipitisha)
Sipendi kuulizwa (naweza kuulizwa kitu najua ila nikasema sifaham)
Kisirani moto
Nongwaa
Nakasirika ovyo
Ni mengi yananizonga nilizani ni peke yangu kumbe tupo wengi
Yes wanaita depression... Yani kiufupi unahitaji msaada mkubwa sanaSonono???
Njoo Pm mkuu.Habari wandugu

I wish ingekuwa ni hadithi,the truth ni kwamba.... hata mimi sijielewi.I can bet if you see me utaamini kabisa kwamba hii ni stori ya kutunga util some who knows me tells you kilichonipata in the past 2 to 3 years ago.To the world my life is normal but to me it is out of the normalAs a behavioral engineer nimesoma maelezo yako kwa umakini nimegundua wewe binafsi kama mwandishi huna tatizo kubwa.
Ulichofanya hapa ni usanii hongera sana kwa kuwasemea waliopoteza matumaini katika Maisha.
~~~~
Unamuhitaji Yesu kuliko unavyofikiriSipendi marafiki,
Sidumu kwenye mahusiano,
Sitaki kuoa,
Sitaki kuishi na mtu,
Sipendi kusaidia,
Sipendi kusaidiwa,
Sipendi kazi yang,
Ni mkali kuliko kawaida,
Sipendi kelele,
Sipend malumbano na ushindani,
Napenda visasi na lawama,
Sipendi kuuliza (mfano naenda sehem naweza nisiulize mpaka gari ikanipitisha)
Sipendi kuulizwa (naweza kuulizwa kitu najua ila nikasema sifaham)
Kisirani moto
Nongwaa
Nakasirika ovyo
Ni mengi yananizonga nilizani ni peke yangu kumbe tupo wengi
Hili bomu CCM wanalolitengeneza litakuja liangamize hii nchi!Sipendi marafiki,