lamisa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 225
- 224
Duuh!! Miaka 4 salute kwako mkuumaisha ya hapa ni mazuri Sana japo tangu nifike miezi mitatu sijawai kupata joto la shemeji yenu hiyo Bahati sina! Miezi mi3 ni michache sana kwa mtafutaji, mi nlikaa miaka 4 visiwa vya Carribean! Acha tamaa, miezi mi3 tu ushaanza kuwaza nyapu! wee utaweza kweli kukaza? umesema unapambana si mchezo.... inaonekana upo busy sana.... sa unapata wapi hisia za nyapu jamaa! BTW huko hakuna GIV?
Ahsante! Ungekuwa Cape Town ningekulink na wana ambao tayari wameshakaa vizuri.... hizo kazi huko wanazibadili kila leo!
Aca kuzingua watu bana!!! We utakaaa 3months eti umepiga pesa ndefu hivo labda unauza madawaa!! Hata uuze madawa ningumu coz bado unakua unacukuliwa kama newcomer maana ake huwezi kuwa connected kiasi ca kupiga pesa kama hiyoo umeweka hapo!!! Pambana maisha si maonyesho mkuu!!Wakuu habali za huko tanzagiza! Poleni Sana na majukumu ya kuisoma Namba, tangu nilipotia miguu hapa bondeni namshukuru Sana Mungu napambana si mchezo kuhakikisha naludi Bongo kifua mbele, maisha ya hapa ni mazuri Sana japo tangu nifike miezi mitatu sijawai kupata joto la shemeji yenu hiyo Bahati sina,
Mwisho kabsa anaetaka kuja huku aje lakini asimtegemee ndugu ama rafiki aje Kama Mimi asijiunge na makundi ya kijambazi atafte kazi lazima atafanikiwa, wilaya nzima ya kahama Mtoto mzawa nimimi ndo nipo south kalibuni sana.
View attachment 844983View attachment 844984
Ya bus Boda to Boda mkuu
Watanzania Kama wewe wengi wenu wapumbavu ndio maana mnasomeshwa Namba ukubwani na mtaisoma Namba, wewe hizo R L zinakusaidia nini?Pamoja na kuishi kwa Madiba bado kuandika hujui wala tofauti kati ya R na L huijui.
Bora uduri tu Tinde
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nikuulize wewe zinakusaidia nini?Watanzania Kama wewe wengi wenu wapumbavu ndio maana mnasomeshwa Namba ukubwani na mtaisoma Namba, wewe hizo R L zinakusaidia nini?
umeelewa
Jinga kubwa wewe. Kwahiyo unaweza kufananisha maisha ya Bongo yenu na Norway au Finland. Jinga kubwa!!Njia zipi ulitumia kufika huko ni kazi gan unaifanya huko huku bongo haiwezekan?
Unataka kuniambia maisha ya nje ya nchi yako ni mazur kuliko ya nchi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hueleweki wewe. Kwanza Bondeni kwenyewe umeenda kisa upuuzi wako katika mapenzi na sio kwasababu umeenda kutafuta life.umeelewa
Yani hapo lazima alikuwa anajiadhibu mikono.
umeelewa
Sisi tulikuwepo huko kipindi cha Neema!miezi mitatu tu umeshaanza kudownloding picha za mitandao na kupost!![emoji23] Fanya ukimbie Africa sio salama kwa watu wanaojitambuaWakuu habali za huko tanzagiza! Poleni Sana na majukumu ya kuisoma Namba, tangu nilipotia miguu hapa bondeni namshukuru Sana Mungu napambana si mchezo kuhakikisha naludi Bongo kifua mbele, maisha ya hapa ni mazuri Sana japo tangu nifike miezi mitatu sijawai kupata joto la shemeji yenu hiyo Bahati sina,
Mwisho kabsa anaetaka kuja huku aje lakini asimtegemee ndugu ama rafiki aje Kama Mimi asijiunge na makundi ya kijambazi atafte kazi lazima atafanikiwa, wilaya nzima ya kahama Mtoto mzawa nimimi ndo nipo south kalibuni sana.
View attachment 844983View attachment 844984
Wakati sie tukisindikiza watu kliniki hukuhuku Bondeni wewe unajisifu kutoka Kahama uko peke yako!!![emoji23]. Nenda Durban ndiko utawachoka akina Ngosha wako kibao ila mishe zao kaa nao mbaliWakuu habali za huko tanzagiza! Poleni Sana na majukumu ya kuisoma Namba, tangu nilipotia miguu hapa bondeni namshukuru Sana Mungu napambana si mchezo kuhakikisha naludi Bongo kifua mbele, maisha ya hapa ni mazuri Sana japo tangu nifike miezi mitatu sijawai kupata joto la shemeji yenu hiyo Bahati sina,
Mwisho kabsa anaetaka kuja huku aje lakini asimtegemee ndugu ama rafiki aje Kama Mimi asijiunge na makundi ya kijambazi atafte kazi lazima atafanikiwa, wilaya nzima ya kahama Mtoto mzawa nimimi ndo nipo south kalibuni sana.
View attachment 844983View attachment 844984