Maisha yangu baada ya miaka 37!

Mkuu nipo, maisha yanatupelekesha hadi JF tunaingia kwa kubeep.......

Kabla ukope lazima ujue unakopa kwa sababu gani, huwezi kuanza process za mkopo wakati hujajua hizo hela unataka kuzifanyia nini, mwenzetu alifeli kabisa hapo
Unaweza kujua unakopa kwa sababu gani Ila hio sababu isiwe sahihi.
Mkopo wa kuanza biashara ama mradi si mzuri , mkopo unatakiwa kuendeleza .
Lakini pia unaweza kukopa na kuanza kwa mafanikio ukapongezwa.

Mleta mada alisema hana kiwanja wala nyumba wala gari, kwa maana mkopo wake alilenga kwenye biashara.


Karibu tena jf mkuu , tuna wamiss sana wakongwe
 
Reactions: ram
Huyu sio wa kumcheka niwakumsaidia.

Miaka 10 kazini hujafanya lolote?

Mkopo ulikuwa wa nini?
 
Wewe na mimi hatuna utofauti kabisa nadhani ni tatizo la kiroho
 
Ndugu sikufaham,

Ila andiko lako ni kama ulikuwa unanisemea mimi....

Hayo uliyoyaandika, ndo yananipata...
Tofauti ni kwamba mi nna miaka 12 kazini na naishi mikoani
 
Huo mkopo ndo vituko kabisa sitaki hata kukumbuka. Nilikopa 36m. Hapo Hela ya LOAN BOARD ikakatwa. Nikabakiwa na 20. Ukiniuliza nilichofanya sijui... Iliisha kiutani utani
Duh ! matumizi mabaya sana ya pesa 20m tu ungejenga nyumba nzuri,
 
kuna matumizi mengine ya pesa si ya lazima kabisa unapokuwa na mke + watoto bado upo nyumbq ya kupanga, huwa namshaa mtu hana wazo la kujenga/kununua kiwanja alaf analipa kodi laki 3 kwa mwezi !
 
Now ni 2026.. Una miaka 40-41 hali ipo VIP? Mkuu
 
Pole sana mkuu lakini bado hujachelewa
Halafu uzuri umejiona haupo normal umewahi kuomba ushauri
 
Ndugu sikufaham,

Ila andiko lako ni kama ulikuwa unanisemea mimi....

Hayo uliyoyaandika, ndo yananipata...
Tofauti ni kwamba mi nna miaka 12 kazini na naishi mikoani
Jamani Mungu akusaidie
 
Thank you so much......
Now yuko at 40, bila shaka katika kipindi hiki chote kuna kitu ameshafanya
 
Thank you so much......
Now yuko at 40, bila shaka katika kipindi hiki chote kuna kitu ameshafanya
Naam, maisha yana badilika kila kunapo pambazuka, bila shaka alivuka salama kile kipindi.
Mwenyewe nilipo kuwa na 35 nilikua sielewi ila nilizoea na kubaki kawaida bila ya stess hadi leo.
Maisha huanzia 40 wanasema.
 
Naam, maisha yana badilika kila kunapo pambazuka, bila shaka alivuka salama kile kipindi.
Mwenyewe nilipo kuwa na 35 nilikua sielewi ila nilizoea na kubaki kawaida bila ya stess hadi leo.
Maisha huanzia 40 wanasema.
Life linakimbia mnoo,siamini kama mwaka huu nagonga 34
 
Kazi gani hiyo unalipwa ujira Mdogo hivyo?

Tafuta Kazi ya maana au Biashara kubwa Stress zinasababishwa Na low income earningm
Mimi napikea 250K kwa mwezi.. af 1.3 M unasema ndogo..
 
Shida ni hapo kwenye mkopo uliuchezea
 
Mkuu sasa hivi una 40+ kama bado upo hapa, nakushauri don't give up!

Usifananishe maisha yako na Watu wengine...
Hujui njia zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…