Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,915
- 870,900
- Thread starter
- #101
Vipi tena mbona mihemko mingi? Au jiwe limetua mahali pake? Kwanini umepaniki kiasi hiki?ukiona hivyo ujue nyie ndio vile vizee vilivyo kua vinawapangishia vijana nyumba ili vifirw na kufir.kwaakili yakawaida hayo mambo umeyajulia wapi Kama hukuyafanya wewe? walikusimulia walivyokuwa wanafanya?tena nasasa unasema kabisa biashara imeshuka hawapangishiwi tena umejuaje kuabiashara imeshuka?ulikuwa wakala wao?au unafanya nao hizo biashara?uzoefu umeutoa wapi?msisingizie vijana wameharibika bali mjilaumu michezo mlio wafundisha Hadi wakaharibika. dah kunavizee vyahovyo sana halafu vinajitia vijuajo kweli yani. vyakuchoma mototu. uzoefu umeutoa wapi? Hadi saizi wadau najiuliza bado sijapata jibu.watu hawapangishiwi vyumba kwasababu wamekuwa wengi umejuaje?????????????????