Maisha yanazidi kuwadhalilisha vijana

Maisha yanazidi kuwadhalilisha vijana

Tuwalee watoto wetu katika njia ipasayo kuwaepusha kuwa viroboto maishani
Maisha yanazidi kuwa magumu kwa vijana wengi huku wengi walitamani kutimiza ndoto zao ama kutamani kumiliki vitu vya anasa bila kuwa vyanzo vya mapato

Wengi walidhalilishwa kwenye ushoga na ulawiti wakifanya kwa siri na kulipwa pesa nzuri. Lakini ni kama fani iliingiliwa wakawepo wengi mno na vidau vikapungua mno! Kwamba ikafika mahali vijana wakawa wanaliwa hata kwa chips yai tuu.. Zile zama za mashoga kupangishiwa upande wa nyumba sinza na kupewa maisha hazipo tena!

Upepo ukabalidilika kutoka kwenye ushoga hadi kwenye uchawa! In fact baadhi yao wana vyote hivyo viwili.. Wanakaba kote.. Vijana wetu nguvu kazi ya taifa na wazazi tegemeo wa kizazi kijacho wanakwisha kwa kasi ya 5G

Tunafunga mwaka 2022 na style mpya ya kuingiza kipato! Na hii ndo style itakayokuwa maarufu sana 2023.... Style ya kuchora totoo za watu wenye hela

Tatoo huchorana wapenzi waliopendana na kushibana sana! Ama watu maalum sana na ni mara chache mno kukuta mwanaume kachora tatoo ya mwanaume mwenzake vivyo hivyo kwa mwanamke!

Ilianzia kule Arusha mama mmoja mwenye ndoa yake kuchora tatoo ya nabii mmoja, tatoo hiyo ilimletea shida mpaka ndoa kuvunjika 2014.. Hapo kati wasanii na watu maarufu wakaanza kuchorana tatoo za wapenzi wao

Sasa kuna mwamko mpya wa watu kuchora tattoo za 'matajiri' hii imechagizwa baada ya kijana mmoja kujichora tatoo ya Fred vunjabei na kumsababishia Ajira..

Mwaka ujao uchawa utakufa na itakuwa ni mwendo wa ma tattoo kwa kwenda mbele.. Si ajabu tukaona tatoo za wanasiasa, wasanii maarufu na wafanybiashara mbalimbali kwenye miili ya vijana wetu
Mbaya zaidi kuna wanasiasa watafikiria kuwapa vijana pesa ili wajichore tattoo zenye sura zao! Kama waliweza kulipa mawe yaandikwe hili nalo halitashindikana!

View attachment 2452742View attachment 2452743

Njaa haina baunsa mkuu
 
Na bado watajichora sana 😜
1668931192318.jpg
 
binafsi nikimuona mtu kachora tatoo namdisqulify kwenye kila kitu.
 
Yaan nilikutana na pisi imechora tattoo kiunoni. Niliahirisha kula pekupeku mzigo Kwa sababu hisia mbaya zilinijia🤔🤔 huenda ata mchora tatoo alichakata🤣🤣🤣
Duh umenikumbusha mbali bro kuna manzi alichora butterfly kwenye kiuno nilimchakata. Na alikuwa mwanamke mwenye Kum…a tamuuu balaa.
 
Kuna manzi niliisotea sana, alikua ananizungusha zungusha kunipa mzigo. Alikua mlokole halafu pisi hasa.

Siku niliyomla nikakuta pajani kachora tattoo zile za kienyeji za kuchora na mafuta ya korosho imeandikwa "Nakupenda Devi". Halafu ukizingatia mimi sio Devi. Dah nilipiga kinyonge saaana nikampotezea mazima.
Siku ingine mraka kaa uyo unabutua haswa ili amfute devi akwandike wewe 😀😀😀
 
Back
Top Bottom