Maisha yanatufunza ukatili kila siku

A43

JF-Expert Member
Nov 18, 2023
385
757
Jinsi ambavyo tunaweka Utu na UbinAdamu mbele, Msaada na Huruma, Jinsi ambavyo tunafungua milango ya fursa ya mafanikio kwa wenzetu ni tofauti na milango tunayofunguliwa.

Maisha yanatufunza ukatili wa chuki na visasi dhidi ya wenzetu jambo ambalo sio Asili ya Utu na UbiAdamu wetu.

Maisha ni Darasa pana lisilo na mwisho.
 
Jinsi ambavyo tunafungua milango ya fursa ya mafanikio kwa wenzetu ni tofauti na milango tunayofunguliwa.
 
  • Thanks
Reactions: A43
Watu wamesukumwa kwenye Pesa kwa kiasi kibaya Sana. Na bado Pesa hizo hizo in turn zinawadhuru
 
Jinsi ambavyo tunaweka Utu na UbinAdamu mbele, Msaada na Huruma, Jinsi ambavyo tunafungua milango ya fursa ya mafanikio kwa wenzetu ni tofauti na milango tunayofunguliwa.

Maisha yanatufunza ukatili wa chuki na visasi dhidi ya wenzetu jambo ambalo sio Asili ya Utu na UbiAdamu wetu.

Maisha ni Darasa pana lisilo na mwisho.
Usiangalie wema unaofanya kwa wengine, na wewe upate hivyo hivyo kutoka kwa wengine. Ukikatishwa tamaa, basi hali itakuwa mbaya zaidi. Endeleza wema, wengi wataongezeka wenye kutendea wengine wema, hatimae itakuwa ni jamii ya watenda wema.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Sure
 
Back
Top Bottom