Maisha yanasikitisha at the same time yanafurahisha..

Mimi mtu anayekwenda kusimama karibu au kuegemea kwenye magari ya watu na kupiga picha na kupost mitandaoni huwa namuona Kama kichaa wa kiwango Cha lami.

Mwanaume unatakiwa kuishi maisha yako halisi mambo ya kufake achia wanawake.
 
Kwa maigizo hayo ndugu ndo ushaanza kuwehuka wanasema moja ya dalili za ukichaa ni kuanza kujistukia .....live your life acha maigizo.
 
Mimi mtu anayekwenda kusimama karibu au kuegemea kwenye magari ya watu na kupiga picha na kupost mitandaoni huwa namuona Kama kichaa wa kiwango Cha lami.

Mwanaume unatakiwa kuishi maisha yako halisi mambo ya kufake achia wanawake.
Fake it until you make it.. ngoja niendelee kufake we only live once
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom