BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,345
That's life.
Mimi BabaMorgan niliacha kazi ya ulinzi mkoani Kagera kuja kupambania ndoto zangu za biashara Jijini Dar es salaam unfortunately mambo yakaenda hovyo nikawa nimepoteza kazi note sikutoka vizuri kwa mwaajiri wangu Kagera na mtaji ukawa umekata kila kitu kikawa kimevurugika.
Nikaamua kujiingiza kwenye biashara za uchinga wa kutembeza vitu sijui ni mpuuzi gani aliniona akaanza kupeleka taarifa kwa ndugu na jamaa kuwa nimekuwa kichaa. simu za mara kwa mara zikaanza baadhi wananidadisi na wengine wananipa pole eti walisikia nimekuwa kichaa kiukweli ikabidi nianze kujifanyia tafiti kama kweli mimi ni kichaa nishawahi pandisha humu uzi wenye heading hivi ukiwa kichaa unajijua kuwa ni kichaa?
Sikuwahi kupata hitimisho kuwa nishawahi kweli kuwa kichaa maana kichaa hajui kama yeye ni kichaa.
Sasa katika harakati nikapata mishe kwenye carwash fulani mjini mara nyingi magari yanayokuja pale ni ya gharama kidogo na mimi ndio nikaona huu ndio wakati sahihi wakuwaumiza kihisia wale wote walioniita mimi kichaa ni mwendo wa selfie na vishort video clip nikiwa na park ndinga za kifahari afu natupia kwenye social network zangu mixer vimaneno vya kuonyesha kuwa nimeyapatia maisha kumbe bado mlalahoi
Comments zao sasa.
-Bro hupokei simu kabisa saa hivi
-Very nice
-Bro naomba nitumie no yako
-Unazidi kupendeza kijana
Mamaye zao si ndo walikuwa wananiita mimi kichaa