Maisha yananigonga

Shem lake hebu kuwa Mzalendo basi, hivi kwa kosa gani mpka mnataka kukimbia hili ni jivu tu mnakoenda mtakanyaga moto
 
Akiuelewa huu ushauri basi atakuwa hana wenge tena la kutaka kujiua.
 
Iko njia moja iliyo bora kwako. Muamini Mungu, kua na imani naye then endelea na bidii ya kutafuta
 
Endelea kupambana..usichoke kuomba Mungu.
Pole Sana
Sometimes ni lazima Mwamba aelewe maisha ni mchakato na mchakato huwa unachukua time , unaweza ukaenda spidi sana na hili life lakini kama nature yenyewe haijamaliza mchakato wake utarudi palepale tu,
 
Pambana usikate tamaa ipo siku utaishi maisha ya ndoto zako

#bila kuchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…