Maisha yamenipiga, naomba ushauri

Magu alifanya kosa Sana mamiradi yake kwa pamoja yamewaletea watz umasikini Mkubwa. Angekewekeza miradi ya kuuinua vijana.
SAsa Ina maana gani kupoteza mda darasani miaka 14 tena ya kusota then unakuja anza SAwa na aliyemaliza la saba
Of course,aliingia na GIA mbaya ya kuharibu biashara na uchumi na kuleta mamiradi ya ajabu ajabu..

Nilikuwa mhanga mwaka 2016 ,ilibidi nirudishe mpira kwa kipa na nilikuwa Dar kipindi hicho..

Kiukweli sitaki tena kuukumbuka huo Mji maana nikipata shuruba sio mchezo baada ya kampuni niliyokuwa nafanya Kazi kufilisika..
 
Vinanipa pesa ya kula na vinanisaidia. Changamoto ni kua havipo kila siku na mahitaji yapo pale pale...
Hiyo ndio changamoto ya vibarua,aitha urudi home au utafute day worker ya Bajaji au pikipiki na utafute hela ya nauli..

Sometime unakuta fundi anakudhulumu nk vinginevyo unaweza kuhisiwa panyaroad ukala chuma 😃😃
 
Wewe ni mjinga huwezi kujua faida za miradi mikubwa
Akili yako iishie kujadili simba na yanga tu
We kula 10% yako kimya kimya,SAsa chato airport ina msaada gani kwa Mlipa kodi,makao makuu Dodoma imeleta matokeo gani kwa kodi yako.
Maendeleo ya vitu bila kureflect maendeleo ya watu ni utakatishaji tu wa kodi zetu.
 
Watu mitaani wamevurugwa na maisha sana,yaani mtu mwenyewe tu kula yake tu nanga inapaa sembuse kuna familia,ndio ukijitokeza kumuongelesha kama ivyo hasira zake lazima akumalizie wewe
 
Pole sana kijana mwenzangu,lau ningekuwa na connection sehemu yoyote ile ningekuvutia uzi,changamoto unazopitia nazielewa sana,kwa mtu ambae hajapitia ivyo anaweza ona kama unaigiza ama wewe ni mvivu tu wa kufanya kazi,Pole sana
 
Nimeumia sana,vp kk nyumbani uliondoka salama?namaanisha wazaz walibaririki uondoke?
 
Nchi ngumu Sana hii , yaani maisha ya mwananchi wa kawaida ni unbearable , income inequality , unequal distribution of resources + mismanagement na poor leadership ya serikali ni ticking time bomb ,
Soon tutakuwa kama wasomali na Ethiopians wanaokamatwa kwenye malori wanakimbiia nchi yao
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hizi Zama watu wanatembea wanaongea peke Yao kama wendawazimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwigulu mjaaa laana weeee twafaaaaa
 
Nimecheka kama mazuri vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu atusaidie Kwa kweli Hali sio kabisa kitaa
 
Pole kaka mkubwa Changamoto za maisha ni sehemu salama sana Kwa maisha ya mafanikio iwapo utakua mvumilivu so usikate tamaa amini kilakitu kitakaa kwenye mstari
 
Pole sana kijana mwenzangu,lau ningekuwa na connection sehemu yoyote ile ningekuvutia uzi,changamoto unazopitia nazielewa sana,kwa mtu ambae hajapitia ivyo anaweza ona kama unaigiza ama wewe ni mvivu tu wa kufanya kazi,Pole sana
Asante mkuu... Haya ni maisha halisi ya vijana wengi tulio mtaani kwa kukosa ajira. Tuendelee kupambana na kumuomba sana Mungu...
 
Halafu unazaa bado unajua Hali yako yenyewe tete , huyo mtoto unafikiri future yake itakuwaje ?
Nawalaumu Sana watu wanaofanya hivi ,future ya mtu iko determined Sana na mzazi .
Kwa sababu hali yangu ni ngumu ningekataa mimba? Maisha yakiwa tight huruhusiwi kuwa na mtoto? Hii ni kanuni ya wapi.... Si future zote za watoto zinakua determined na hali za kipato cha wazazi wake. Na hii hali niliyonayo sasa haitakua permanent, bado kuna chance ya kupambana kubadilisha mambo, mtoto wangu kwa umri wake wa sasa anapata mahitaji muhimu yote (yale ya lazima) na nahakikisha hilo kwa kidogo nachopata.
 
Pole kaka mkubwa Changamoto za maisha ni sehemu salama sana Kwa maisha ya mafanikio iwapo utakua mvumilivu so usikate tamaa amini kilakitu kitakaa kwenye mstari
Asante kwa kunitia moyo, mkuu. Jah bless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…