Maisha yamenipiga, naomba ushauri

Maisha yana mambo mengi sana, haupo peke yako katika hali hiyo ni wengi.

Mimi nakushauri Kama nyumbani Kuna ardhi rudi huko kajipange upya, jipe imani kwamba haijalishi umepitia mangapi lakini ipo nafasi ya kufanya comeback muda ujao, na hakika utaipata kesho iliyo bora zaidi.
Ivi mtu akiwa na ardhi ndo anatoboa vipi kwa hali kama yake yani kuuza ardhi au kilimo?

Nilijaribu kilimo mwaka jana mbona kuna gharama au kuna altanative ya bila kutumia pesa kufanya kilimo au mimi ndo nilikua napigwa
 
Unamshaur mtu Aende h0me akalime?una akili sawaswa?kilimo gani hich0 unazungumzia bila pesa....Kuna vitendea kazi,madawa,mvua now hakuna ni kilim0 cha umwagiliaji,Anunue pampu si chini ya 200k,Mpira mitaa kadhaa sh 150k kuendelea mnadhani kulima ni swala D0g0...Inshu ni m0ja Achunguzwe kama ni kweli tumchangie anunue pikipiki hata used mb0na zip0 mtaani...Kuna boxer 125 Kuna mi tvs kiba0 mtaani mpk 1m Ili0simama...TUMCHANGIE MWANA AMEKATAA TAMAAA...
 
Haya maisha hayana formula unatumia miaka 14 darasani then unakuja kuanza upya SAwa na school drop up alieacha shule kwa kukosa ada, huyu umpati unakuta ana phd ya life experience ana maisha yake anajua direction wapi anaenda, anakuzidi maendeleo, familia, nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom