Ina wezekana
Member
- Sep 2, 2017
- 74
- 170
- Thread starter
-
- #61
Asante kwa wazo zuri mkuu. Nilijaribu kiwanda cha sabuni pale mbuyuni dsm. Sometimes hua naenda hapo sema nafasi pale ni chache na wahitaji ni wengi so kila siku wana limited number kulingana na kazi zilizopo siku hiyo. Kama una connection za viwanda vingine naomba maelekezo niendeKatafute kazi viwandani ili uweze kujikimu huku akiangalia mambo ya ajira. Huko kwenu kijijini hakuna mashamba ukalime angalau upate mtaji?
Pole sana dogo one day yes.
Nikipata pikipiki nitarudi barabarani. Bado sijapataChukua pikipiki nyingine ya mkataba..usiogope kwasababu ya changamoto ya kuibiwa..
[emoji1545]Hatufanikiwi pale kwenye mserereko tunafanikiwa pale tunapokutana na Changamoto USIKATE TAMAA
Ni kweli japo kwa hali niliyonayo sichagui. Ata ikiwa used isiwe na ubovu uliozidiIsiwe mpya sasa
Ofisi zao zipo wap mkuuNimeona Asa Microfinance wametoa nasafi za kazi watafuta loan officers around 100 hebu jaribu huko
Asante mkuu. Ngoja nichangamke na hiiJaribu na hukuView attachment 2365643
Kurudi nyumbani ni ngumu mkuu. Kwetu mimi ni mtoto wa kwanza wa kiume na wa pili kuzaliwa. Wadogo zangu wapo watano na wazee wangu kwa sasa kulingana na umri wao + maradhi hawana uwezo huo wa kuwahudumia wote, hata hao wadogo zangu wengine wapo kwa ndugu.Jamaa yetu anapatia magumu sana. Nafikiri kwanza arudi nyumbani kwao (kwa wazazi au walezi), apate utulivu wa akili, then aanze mchezo upya. Kujipanga kutokea nyumbani sio mbaya..
[emoji1545]Changamoto ndo huleta kutoboa.
Asante kwa kunitia moyo mkuu. I appreciateMaisha yana mambo mengi sana, haupo peke yako katika hali hiyo ni wengi.
Mimi nakushauri Kama nyumbani Kuna ardhi rudi huko kajipange upya, jipe imani kwamba haijalishi umepitia mangapi lakini ipo nafasi ya kufanya comeback muda ujao, na hakika utaipata kesho iliyo bora zaidi.
Asante kwa wazo zuri mkuu. Nitalifanyia kaziRudi mkoani, utafute shule za kufundisha, pamoja na kutoa huduma binafsi za masomo ya jioni (tuition)
Asante mkuu. Tuendelee kupambanaPole sana mkuu, Mimi pia tumefanana baadhi ya sifa ila nakuomba uendelee kupambana, kamwe usikate tamaa
Asante kwa kunitia moyo mkuu. Tuendelee kupambana na kumuomba sana Mungu.Mkuu sina cha kukusaidia zaidi hata mimi bado sijasimama ila what I can say kikubwa muweke Mungu mbele and its not over kitaeleweka tu ukiwa bado una pumzi.
Magu alifanya kosa Sana mamiradi yake kwa pamoja yamewaletea watz umasikini Mkubwa. Angekewekeza miradi ya kuuinua vijana.
SAsa Ina maana gani kupoteza mda darasani miaka 14 tena ya kusota then unakuja anza SAwa na aliyemaliza la saba
Sio ndoa. Ni ile kutokucheza kwa tahadhari na nisingeweza kukataa matokeo ya matendo yangu. Pm ipo wazi mkuuApo kupatq mtoto nakulaumu sana mtu unajua hali yako afu unaingia kwenye ndoa ujinga ntakuchek pm tuyajenge
Nikipata walio interested kuchukua mkopo halmashauri nitafanya hivyo. Changamoto za halmashauri ni kuwa hadi muwe kikundi na mkopo kua mdogo sana, yani hata kuwekeza uzalishe inakua mtihan kwel kweli.Jikusanyeni muwe watano na rafki zako waaminifu, mkachukue mkopo halmashauri