Maisha ya vyuoni vs Maisha ya mtaani

Maisha ya vyuoni vs Maisha ya mtaani

da sawa .ila tatizo ni kwamba mtu kama mimi nmejiajili ila nataka hata niende chuo sasa naofia kutoka alafu biashara zangu zikakwama sahizi niko dillema nisome kwanza au nifanye biashara kwanza?
hahahaaaaaaaa
 
Maisha ya mtaani na yale ya vyuoni ni tofauti sana. wanachuo wengi wakiwa wako chuo huwa kama wamefunikwa blanketi nzito. starehe kibaooo, matanuzi kibaoo, anasakibaoo!

Usipojiwekea akiba na kutumia akiri yako ku plan vitu mhimu vitakavyo kusaidia baadae mtaishia kulalama ati AJIRA AJIRA AJIRA. SASA AJIRA ZA SERIKALI ZIMESITISHWA ZOTE!

Jamani maisha ya vyuoni na mtaani ni tofauti mno! SASA WALIMU WANALIA ATI AJIRA AJIRA BLANKETI NDO LIMETOKA MACHONI KWENU. TOO LATE.

USICHAGUE KAZI TAFADHALI: NAOMBA MSHIKE MASHAMBA MLIME: KUJIAJIRI KUNALIPA MNO KULIKO KUAJIRIWA.

Serikali kwa sasa inawaza kujenga viwanda walau 50. sasa mtakumbukwa lini? naomba mjiajiri mapema! mlioko vyuoni na nyie jifunzeni kwa wenzenu wanao lalama ajira ajira ajira!
Tunafahamu bwana maisha ya mtaani yako vipi ndugu yangu jua tu kaboom kachuo hakatoshi kula bata kiasi hicho....ukiona mtu anatanua jua nyumbani wanajiweza...maskini jeuri ya boom ni siku moja tu kwa awamu moja ya boom trust me..njoo bibo...huku mikate chai kwa sana almost vyumba vyote vinamajagi yakuchemsha chai...na rb ukoko kwa sana pale kwa mama kifusi na mama wakihaya tukirudi nyumbani mama akipika ugali dagaa tunashukuru tena tumeiona protein!!! Usidanganywe chuo kuna bata huku tunajifunza kuishi maisha magumu kuliko yale ya nyumbani ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom