Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Kweli Leo Nimestuka sana na kasi ya upandaji wa gharama za simu za Vodacom
Nimezoea kununua kifurushi cha elfu 5 kwa wiki ambapo awali ulikua unapata Dk 90 ZIKENDA PUNGUA HADI 80 na Leo zimekua dakika 70 ndani ya muda mfupi sana
jameni Voda!!!!! mbona hivyo au ndio mnarudisha pesa zenu mlizochangia wakato wa uchaguzi?