Maisha ya Uswahilini

Basi utakuwa umechapa nchi nzima mkuu zero iq
 
Lakn mengine mnatia chumvi mbona mimi sehemu niliko siyaoni.
 
Mimi Mzenj wakati nimefikia uswahilini huku akilini nikijua wanawake wa Dar si salama kwa Afya yangu baada ya kama mwezi na Nusu visichana vikaniuliza hivi ww mpemba ndo tuseme hujaona mwanamke wa kukutosha au mgonjwa huwezi kazi .ili bidi Muda niukunje ili niwahi kurudi nyumbani nikiwa mzima wa Afya ila Raha maana mkielewana unaishi kama uko na ndugu zako tumbo moja vile
 

nimechemsha chai lakini sukari imeniishia nije nichukue kijiko kimoja cha sukari?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…